Huo ni mfano halisi wa siku watu wakiacha CCM na nguo zao maana inawatesa sana huo ni mfano halisi kwamba maisha haya hizi sio sura zetu kabisa ni CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yana changamoto Sana.Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika kushiriki kwenye mashindano ya bongo star search lakini hakupata nafasi.
Hii picha kipindi analia baada ya yanga kupokea kichapohapa kipindi anatafuta nafasi bongo star search
Huu sasa ndio muonekano wa sasa baada ya kula kitengo pale AZAM na yanga kawahama kabisa
NB:jamaa mwanzoni alionekana kama kituko sasa hivi kala kitengo hata harmorapa akiendeleza janja janja za kiki atatusua tu siku moja.
-Ndumilakuwili-
Mkuu nimejaribu kuongeza mwamnga mpaka mwisho kwenye simu yangu lakini picha za mwanzo sijaziona fresh..
Kumbe one day nami nitakua HB
hahaha kweli mi nimeona ni mkaka mfupi n way ngoja nitafute full pix yake full nijiridhisheHa ha ha mfupi tena,, mi simooo!!!
Mkuu wewe ukitongozwa unakubali tuMademu waliomkataa imekula kwao
Siyo huyu mkuu marehemu alikuwa anajipaka masizi meusi,hapo pichani ni marehemu akiwa na Stivehuyu si ndo yule walisema amekufa kwenye ajali singida walipoenda kwenye mambo ya ccm? au sio huyo?
Jamaa kawa handsome boy.
Hata Dimond zamani alikuwa Domo siku hizi eti Lips denda
Basi km ndo evolution of man yake Kali,,wako tofauti kabisaaaaa,,,Mrembo acha ubishi.
-Ndumilakuwili-
kipindi cha nyuma inaonyesha alikuwa kwenye msoto sasa hivi mambo safi.Basi km ndo evolution of man yake Kali,,wako tofauti kabisaaaaa,,,