Kweli pesa inatakatisha,huu ndio muonekano wa sasa wa STIVE(shabiki wa yanga)

Watu wanaishi kwa janjajanja tu hapa Town

- Steve Yanga ( Azam )

- Edo Kumwembe

Hata yule aliyemkumbatia Rooney msije kushangaa mwenzenu akitusua
 
Kiboko ya mabishoooooo nae kawa mzungu.....
21231884_2067536849927389_2116774149522476982_n.png.jpg
Wajaribu tu plastic surgery.
 
Pesa sabuni ya Roho....
Hata Marehemu Marijani aliimba, nikinukuu baadhi ya mistari yake:-
........Kila penye udhia oohoo.. wewe penyeza rupia...
........jamani pesa hoo....ilivunja ngome na milima...
........Wa kale walisema hoo....
........Pesa pesa..pesa ndio sabuni ya roho...
........Mwenye pesa..mwenye pesa sio mwenzio...nasemaaa...
 
I like it... Umenisha mgoshiiii....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom