Kweli nimepatikana siamini

Miaka miwili? Umejitahidi sana na upo hatarini. Kuna study moja imegundua kwamba kama haukojozwi angalau mara 21 kwa mwezi, upo kwenye hatari kubwa ya kupata cancer ya kizazi huko mbeleni.

Be warned!
 

Ebitoke ebu ukuje huku utoe ushauri mubashara!!
 
Aisee umepatikana kwa kweli. Lakini kwa nini umejitesa muda wote huo, kuwa single wakati kila siku wakaka humu wanatafuta wanawake tena wa kuwaoa?? au mwenzetu muda badoo??
Wababaishaji wa umu vigezo vingi sana
 
Miaka miwili? Umejitahidi sana na upo hatarini. Kuna study moja imegundua kwamba kama haukojozwi angalau mara 21 kwa mwezi, upo kwenye hatari kubwa ya kupata cancer ya kizazi huko mbeleni.

Be warned!
Najikojoza mwenyewe kwa wiki Mara mbili(selfie) so kwa hilo halinisumbui
 
Miaka miwili? Umejitahidi sana na upo hatarini. Kuna study moja imegundua kwamba kama haukojozwi angalau mara 21 kwa mwezi, upo kwenye hatari kubwa ya kupata cancer ya kizazi huko mbeleni.

Be warned!
Mmmm si kweli so uume ndio dawa
 
lady in action hebu jaribu kunitongoza mimi hakika hutajutia uamuzi wako
 
Hatumii kilevi...hapendi kujichanganya yaan kwanza Sijui social network anaweza maliza hata miez 6 hajaingia hata whatsap na smart anayo....

Sisi ambao atuonji iliyo chujwa vyema tuna raha sana. Mapema unakuwa ushausoma mchezo arafu unamwangalia mtu kwa mbaaaaaali anavyo weweseka, atakunasia wapi Maana brain full oerfomance 100% akuna cha kupitiwa na ibirisi wala shetani.

Sasa jamaa mwenyewe hapendi social media tools. ukimmiliki atakubore sana maana wewe huku ndio sebureni na varandani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzee hauko mbali
 
Fanya yako tu potezea kichwani mwako hakika yatapita hayo mawazo. Jiweke mbali nae kwa muda uone reaction yake akipiga usipokee, akituma text usijibu kama ana mpango nawe atakuambia hizo ni genye tu zinakupelekesha nae anasubiri kitonga ili asitumie gharama. Raha ya mwanamke utongozwe siyo kujitongozesha.
 
Tanteee najuwa wanipenda nakuangaliaga tu njoo toto ee 🙂
 
Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..

Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!

Usithubutuu....
Angefata huu ushauri...bahati mbaya hashauriki
 
Utakazwa bila kuambiwa unapendwa....
huko ndiko unakoelekea
 
Mmmh wewe NI muongo aisee humu kuna Uzi umeweka nadhan jana kwamba na huyo kaka na mna mtoto ulimfata huko alikohamia na SASA unalalama jamaa hataki papuchi yako Hana wivu na wewe wala hamu na wewe hata UTOKE mwaka Mzima.
Pole Sana aisee. Jamaa alikutamani Kwa shobo zako lakini si kwamba alikupenda
 
Dah sikujua kama unanipenda mimi nilikuchukulia kama dada yangu any ways sio mbaya Nakupenda pia Lini unakuja ghetto tutest mitambo ni mm mfanyakazi mwenzio
 
Watu mnafukua makaburi yawa filisti aisee [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli moyo wako umempenda au kichupa kimefaa mbususu inataka kuchakatwa so tumia akili genye sisikupeleke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…