Kweli nimeamini wanawake mwalimu wao ni marehemu

Kweli nimeamini wanawake mwalimu wao ni marehemu

Kama kweli wewe ni mchungaji tutajie kanisa lako unalochunga liko wapi na linaitwaje na wewe kwa jina lako halisi ni nani?

Vinginevyo kujificha ficha humu kama mtu muovu unamficha nani?

Jina Langu Daniel, Huduma Yangu Inaitwa "Mlima Wa Neema" Lipo Kilombero. Karibuni Sanaa
 
Umeokoka lkn kanisani kwenu hakuna muumini anakujua,hakuna anayekuheshimu,hukai viti mbele. Huku uraiani wamekuchapia mpaka wakambeba! Kwa nn usimuombe Mungu akuchukue ili akuepushe na hayo mateso!!? Huna raha kabisa hapa Duniani.

Mbona Ilikuwa Miaka Mingi, Mpaka Sasa, Alishaolewaga Na Ana Watoto.
 
Wewe jamaa nahisi kuna fyuzi imekatika kwenye halmashauri ya ubongo wako...

Halafu una mikwara ya kigoloko utadhani wewe peke yako ndio umjuaye Mungu...

Unajiita mchungaji halafu unakimbiwa na mwanamke...

Halafu unataka kuwafananisha wanawake wote na huyo kimburukutu wako...
 
Wewe jamaa nahisi kuna fyuzi imekatika kwenye halmashauri ya ubongo wako...

Halafu una mikwara ya kigoloko utadhani wewe peke yako ndio umjuaye Mungu...

Unajiita mchungaji halafu unakimbiwa na mwanamke...

Halafu unataka kuwafananisha wanawake wote na huyo kimburukutu wako...


ckilizeni iyo inshu ilitokea miaka 4 ilyopita wakati nikiwa mlokole kawada, lkn sasa ndio nimezama zaidi, na ameolewa mara nyng tu. ilo jambo sio jana
 
Hebu nikumbushe kwa nini tunamjadili sasa? Get a life and move on. Acha kuishi kwenye historia.

Si ajabu mwenzio alishatubu hapa umemuandika hadi shetani anajiuliza unaongelea dhambi zipi (bible inasema kama mashariki na magharibi zilivyo mbali ndivyo dhambi zetu zitakavyowekwa mbali tukitubu. Na si ajabu keshatakaswa ni mweupe kuliko sufu).

Nenda kwa mchungaji wako uongozwe sala ya toba. Na ufundishwe somo la msamaha.
ckilizeni iyo inshu ilitokea miaka 4 ilyopita wakati nikiwa mlokole kawada, lkn sasa ndio nimezama zaidi, na ameolewa mara nyng tu. ilo jambo sio jana
 
Ahahaha. Kweli dunia hadaa. Kama wewe ndio mchungaji sipati picha waumini wakoje.

Nenda kwenye semina za kiroho, zitakusaidia kwanza ukue kiimani na huduma iwe bora.
Jina Langu Daniel, Huduma Yangu Inaitwa "Mlima Wa Neema" Lipo Kilombero. Karibuni Sanaa
 
hahaaaaaaaaaaa huu uzi umenichekesha kaaaa...

watu bwana..
 
Yani mkuu hii post yako imenichekesha sana,nahsi kama unamatatizo kidogo,ingependeza ukajiombea
 
Wanawake ni watu wazuri sana kama wanapata kitu roho inataka. Ukiona mwanamke anasusa kukupikia, hakuheshimu anakutukana hovyo na kukurushia mangumi...ujue kuna kitu humfanyii. Most likely kuna udhaifu kwenye maswala ya unyumba. Mwanamke asiye ridhishwa kiunyumba ni hatari kuliko hata simba.

sitaki kuamini hii comment yako.... ungeianzishia uzi mjadala ungekuwa mzuri sana, tena bila ya kuvutia kamba upande wowote.... wazimu wa mwanamke anaujua mwanamke mwenyewe......Muombe Mungu akubariki kwa uliye nae au uchague akufaaye.
 
Kumtukana Mt.Mungu Ni Kumtukana Mungu. Ww Mwenyewe Unajua Mm Cjawah Kupost Wala Kucomment Kitu Nje Na Maadili Ya Kimungu. Mada Nyng Naziona Lkn Huwa Napita Tu Kutokana Na Nafasi Yangu, Sio Kwamba Cwez

Ungekuwa na chembe angalau kidogo ya maarifa ukajua maana ya ukristo, ukajua maana ya wokovu na ukajua utendaji wa Mungu unavyofanya kazi usingekimbilia kumlaani mtu aliyekukera kidogo na kumtangazia kuwa ataugua au atapoteza vitu..nyie ndo mnafanya watu wakose imani kwa Mungu..imagine hayo aliyoyasema yasipotokea (na najua hayatatokea) unadhani huyo uliyemtangazia mabaya atafikiria nini?...kwamba "Mungu wa wenye wokovu hasikilizi sala zao so hakuna haja ya kutafuta wokovu"
 
Bazazi kapigwa laana uko kuna lisredi Madame B umemstukia jinsi alivyo kuwa mkali we libazazi Asprin nakutafute ujue tangu utoke ughaibuni hatuonani nikakutafuta nikupe mtonyo umekimbia nipitie maeneo yakujidai leo jioni na wewe Madame B nimekumiso.

Aspirin Umeshapigwa bani nini?? maana ulivoyaporomosha hatar

KakaKiiza huyu bazazi Asprin tangu ampate yule mwanamke wa mtaa wa pili anasumbua sana.
Hebu tumtafute atupe vitamtam vya Ulaya

:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Kuna thread umefungua tena jana unasema hujaoa then kuna mwanamke anataka aolewe na ww kisa ww pastor fake.
 
Back
Top Bottom