Afu weweeeee
Hapana Mwanzoni Alikuwa Safi, Sema Alilewa Na Ule Wema Na Upole Niliomwonyeshea, kwa iyo hajanipanda kichwani alivyotaka mungu akamtoa kwa njia iyo
Jamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa sababu ya wokovu wangu.
Sasa akalewa si akajua wanaume wote wapo hivyo siku akadanganywa na jamaa kuwa hana mke wakati ana famlia akaondoka nyumbani akapangiwa chumba.
Lakini cha ajabu toka amepangiwa chumba jamaa hajawahi kulala hapo maana ana mke. lakini yeye hajiulizi aaaah. leo anajuta amekuwa kama "kifuu cha nazi" na mimi nimemwambia "siwezi kushona tambala la kupigia deki"; amekwisha olewa mara 2 ameshindwa na anashindwa kuniingia anaogopa Wokovu wangu.
jamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. Alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa sababu ya wokovu wangu.
Sasa akalewa si akajua wanaume wote wapo hivyo siku akadanganywa na jamaa kuwa hana mke wakati ana famlia akaondoka nyumbani akapangiwa chumba.
Lakini cha ajabu toka amepangiwa chumba jamaa hajawahi kulala hapo maana ana mke. Lakini yeye hajiulizi aaaah. Leo anajuta amekuwa kama "kifuu cha nazi" na mimi nimemwambia "siwezi kushona tambala la kupigia deki"; amekwisha olewa mara 2 ameshindwa na anashindwa kuniingia anaogopa wokovu wangu.
mwanamke ulompata ndio mwalim wake marehemu lakini mimi na mama yako tunaakili nzuri tu
So ndoto yako umeilewaje?
Jamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa sababu ya wokovu wangu.
Sasa akalewa si akajua wanaume wote wapo hivyo siku akadanganywa na jamaa kuwa hana mke wakati ana famlia akaondoka nyumbani akapangiwa chumba.
Lakini cha ajabu toka amepangiwa chumba jamaa hajawahi kulala hapo maana ana mke. lakini yeye hajiulizi aaaah. leo anajuta amekuwa kama "kifuu cha nazi" na mimi nimemwambia "siwezi kushona tambala la kupigia deki"; amekwisha olewa mara 2 ameshindwa na anashindwa kuniingia anaogopa Wokovu wangu.
Nimekwisha Msamehe Na Mungu Amemsamehe Pia, Kwani Kusamehe Ni Mkweli Na Muwazi Kumwambia Alichofanya. Lkn Itambulike Kuwa Kumtus Mt.Wa Mungu Ni Hatari Hasa Usiye Mjua,maana Hujui Ni Wa Kweli Au La?? Hii Ndo Ilimponza Miriam Na Haruni Kupigwa Ukoma Pale Walipomtusi Musa
Ni Kweli Mkuu, Huu c msemo tu sawa na ule "wanawake mwalimu wao kipofu"?????
umesema umeokoka...then hutakiwi kufatisha namna ya dunia hii! hiyo misemo waachie wenyewe. Bila shaka unafahamu nguvu ya ukiri! kama wewe unakiri kuwa wanawake wote mwalimu wao marehemu au kipofu...utakuwa unapata wanawake wa hovyo kila siku, coz ndo unavyokiri na ndo kilichoujaza moyo wako. Unampa shetani nafasi kwa ukiri wako! badilika
wewe utakuwa ndiye Baba SolomoniiJamani nilikuwa nampa mshahara wote anapanga yeye, lakini alikuwa akikasirika hapiki cku3,4 hadi 5 na hela nimempa. alikuwa wakati mwingne hadi ananipiga lkn mm simrudishii, alinionea sana kwa sababu ya wokovu wangu.
Sasa akalewa si akajua wanaume wote wapo hivyo siku akadanganywa na jamaa kuwa hana mke wakati ana famlia akaondoka nyumbani akapangiwa chumba.
Lakini cha ajabu toka amepangiwa chumba jamaa hajawahi kulala hapo maana ana mke. lakini yeye hajiulizi aaaah. leo anajuta amekuwa kama "kifuu cha nazi" na mimi nimemwambia "siwezi kushona tambala la kupigia deki"; amekwisha olewa mara 2 ameshindwa na anashindwa kuniingia anaogopa Wokovu wangu.
wewe utakuwa ndiye Baba Solomonii
Mwanamke Anaefanya Mambo Yasyofaa Ktk Jamii Basi Huyo Mwl Wake Atakuwa Marehemu