Kweli nimeamini wanawake mwalimu wao ni marehemu

Kweli nimeamini wanawake mwalimu wao ni marehemu

Bazazi kapigwa laana uko kuna lisredi Madame B umemstukia jinsi alivyo kuwa mkali we libazazi Asprin nakutafute ujue tangu utoke ughaibuni hatuonani nikakutafuta nikupe mtonyo umekimbia nipitie maeneo yakujidai leo jioni na wewe Madame B nimekumiso.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ilovo kama wewe ni mchungaji kwa nini usimfanyie maombi ili Mungu amasamehe na kumbadilisha ili baadae ujivunie kumbadilisha. Maana ukimuombea apate adhabu kali ya ugonjwa usio tambulikana ina maana hatatibiwa hadi afe. Wewe ni mchunga kondoo huwezi ombea kondoo wako mabaya hata kama amekosea nia yako ni kumbadilisha ili atende mema

Nimekwisha Msamehe Na Mungu Amemsamehe Pia, Kwani Kusamehe Ni Mkweli Na Muwazi Kumwambia Alichofanya. Lkn Itambulike Kuwa Kumtus Mt.Wa Mungu Ni Hatari Hasa Usiye Mjua,maana Hujui Ni Wa Kweli Au La?? Hii Ndo Ilimponza Miriam Na Haruni Kupigwa Ukoma Pale Walipomtusi Musa
 
Aspirin Umeshapigwa bani nini?? maana ulivoyaporomosha hatar
 
Bazazi kapigwa laana uko kuna lisredi Madame B umemstukia jinsi alivyo kuwa mkali we libazazi Asprin nakutafute ujue tangu utoke ughaibuni hatuonani nikakutafuta nikupe mtonyo umekimbia nipitie maeneo yakujidai leo jioni na wewe Madame B nimekumiso.

KakaKiiza huyu bazazi Asprin tangu ampate yule mwanamke wa mtaa wa pili anasumbua sana.
Hebu tumtafute atupe vitamtam vya Ulaya
 
Last edited by a moderator:
Inashangaza sana unajinasibu na kujiita Umeokoa na kujifanya mtu wa Mungu yaani wewe ni Mcha Mungu,
Ulikuwa unazini na huyo Mwanamke kisha unajidai kumwita mkeo wakati hujamuoa, Mcha mungu gani Mzinifu.
 
Rudi ukaombewe Mpendwa.
manake nikikuita msnambe sijakutusi.
 
Inashangaza sana unajinasibu na kujiita Umeokoa na kujifanya mtu wa Mungu yaani wewe ni Mcha Mungu,
Ulikuwa unazini na huyo Mwanamke kisha unajidai kumwita mkeo wakati hujamuoa, Mcha mungu gani Mzinifu.

tatzo lako ni mfuasi wa K.Ngombalimwilu, Ndio Maana Hauelewi, Uwe Unauliza
 
Mjinga sana wewe unakubali vp kupigwa na mkeo kwa sababu tu ya wokovu, au unafuata aliyosema bwana Yesu kuwa mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia......
 
Bazazi kapigwa laana uko kuna lisredi Madame B umemstukia jinsi alivyo kuwa mkali we libazazi Asprin nakutafute ujue tangu utoke ughaibuni hatuonani nikakutafuta nikupe mtonyo umekimbia nipitie maeneo yakujidai leo jioni na wewe Madame B nimekumiso.

Tukutane lini pale kwa jimama...tule mbuzi...
 
Last edited by a moderator:
niulize nini wakati mwenyewe umeyasema hayo, umekuja kulalamika na kueleza ukweli ya kuwa hujamuoa
 
Mwokovu wamekugegedea...pole msamehe tu hata Yesu aliwasamehe waliomsulubu

Kwny kugegedewa huwa hakuna msamaha, ndio maana hata Mandela alipofungwa miaka 27 alipotoka akawasamehe waliomfunga, alipoambiwa kuwa wakati yuko nyuma ya nondo kuna li jamaa likikuwa linamgegeda Winnie, mbona alipotoka akamtimua!!
 
we mzinifu kisha unalalamika mzinifu mwenzio kakukimbia, kwanza ulitakiwa kumshukuru Mungu kwa kukuepushia usiendelee kuzini.
 
tatzo lako ni mfuasi wa K.Ngombalimwilu, Ndio Maana Hauelewi, Uwe Unauliza

hivi wewe huyo mungu unayemuabudu ni god..au God??maana huna hekima hata kidogo umekaa kimipasho.. nyie ndo wale mnaokoka baada ya kufanya dhambi saana.. ma fake pastor nyie hamna lolote...mtumishi wa mungu shurti uwe na hekima hauezi ukaita mwalimu wa wanawake ni marehemu!!! including your mom,sisters na wanawake wote kwenye familia yenu mwalimu wao ni marehem ila siyo sisi!!! rekebisha kauli
 
Mwenzetu umezaliwa na nani wewe?? mbona umetudharau sana....samaki mmoja akioza sio wote wameoza....
 
soma hapo we unayejiita mtumishi wa Mungu na kuleta dharau kwa wanawake kisa tu umekimbiwa na hawala yako a.k.a Mzinifu mwenzio kisha unajitutumua na kusema mkeo.
 
we unadhani wanawake wote wao ivyo na je mama yako yupo katika kundi hilo acha masihara
 
Wewe ni mwanaume wa aina gani usiekuwa na heshima kwa wanawake? Wakiita walokole na wewe utatoka mbele? Ndio maana hawara yako kakukimbia,kuwa na adabu siku nyingine usikrupuke kwa uzi wa ajabuajabu kama huu, tatua matatizo yako kiume sio kuja kutusi wanawake.

Ungesema mwalimu wa mama yangu, dada zangu,bibi,shangazi na hawara yangu ni marehemu, hapo ungesomeka
 
Back
Top Bottom