Ni sheeedaaah! Kitu gani hicho? Je ukianagalia ni kizuri kama ua? Au hadi gizani, mi sina hakika!
Usijifananishe na mwanamke hata siku moja.
Yeye ana rsilmali adimu, inayoweza kumpa kiwewe mwanaume hadi akauza kila kitu.
hyo ni kweli mambo ya nyota hayo.... Kuna baadh ya wanawake ukiwa naye tu yaan kila siku lazma uingize hela tena nzuri lakn wapo hao loh! Kila siku kushinda polis makosa hayaishi ww ni kupoteza hela tu
mullax umeongea. alijua atakufa masikini.
nikupe mfano hai limoja liliniruka na mtoto likaniachia mimi kuepuka mawazo nkawa nafanya kazi 2 .
1. kumnyonyesha mtoto
2. kusaka hela mda wote ili kuwa busy nsiwaze sana. baada ya mda wa kuwa busy akafutika automatically moyoni nkajikuta nna akiba kama ya m13. nkaanza kuweka kibanda changu cha room 3 na sebule sahivi kimeisha, bado sahivi najisomesha chuo kwa mara nyingine
povu linamtoka huko mitaani kazi kutangaza mi ntakuwa nna wanaume. hajui akili yangu na mikono ndo buzi langu.
Wanawake wa bongo ukiwaona kwenye instagram wanavyoshindana kuonyesha wanaisgi maisha ya juu utasema wana makabati ya hela nyumbani
hahaahaha alteza gari vurugu 2
Heheeeeee bi dada hongera sana! Umenifurahisha sana !
Hii ndo dawa ya m baya wako " kill them with success"!
Eti atakuwa na,wanaume..... kwani alitaka uwe lesbian upende wanawake wenzio?
Hata ukiitumia mbunye yako yeye inamuwasha nini? Mbunye za kwetu lakini wanataka kutupangia matumizi ajabu!
Hata baadhi ya wanaume ni hivyo hivyo........unakuwa na hela lakini cha maana unachofanya huna.........ipo sana hii.......
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
mmmh! Wanaume hamna bhana ila wanawake ndio sana
mi nlichekaa saana kwa furaha kumbe miaka 2 hatuwasiliani yeye ananichunguza.
halafu mtu ambaye si wako akiwa na mwanaume inamuhusu.
yaani nlishangaa sana mtu ambaye nshamsahau bado ananifuatilia. mtoto ukimuona ni toto toto ningekuwekea hapa ila sio safe
Sasa ndio nakupa taarifa hiyo.......nipe sababu ya kwa nini wanaume hakuna..........
ngoja nikupe kwa haya mambo.
.Hivi umewa kujiuliza kwann ktk mitume 12 wa yesu hakukuwa na mwanamke?
. Unajua kwann hakuna shekhe mwanamke? Au imam wa kike?.
Umewahi kujiuliza kwann mashetan huwapata wanawake tu?
. Hapo kuna siri nzito sana.
Karibu
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae