Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Ni vile tuu hunijui madam thatswhy unasema hivyoo namheshim msichana nae kua naw na najitaidi kumfanya afurahi kwa uwezo wangu mdogo sasa kama utataka nikupe ambachosina hapoo ndipo huwa tunashindana
tena kaumia haswaaaa!!! na ndivyo walivyo, mwanamke akifanya maendeleo tu wanakimbilia kufikiria 'kahongwa' huko ni kujifariji tu, nawe si ungemhonga basi km kuhonga rahisi hivyo!
Sawa mkuu nimekuelewa.
Wanawake wa bongo ukiwaona kwenye instagram wanavyoshindana kuonyesha wanaisgi maisha ya juu utasema wana makabati ya hela nyumbani
Mbona watu mmetafasiri maelezo yangu vibaya jamani mara wivu mara namkosi mara hata sisi tunataka tutoe airtel hahahahahaha hapana jaman nimeshangaa sana kwakua mimi nayafahamu maisha yao fika na hari yao kwa ujumla na mimeoneshwa hiyo gari na rafiki yake wa kike akanipa data zote kua kapata mzee mmoja anaweza kua kama babu yangu amemununulia gari ila yule mzee wanamhisi ni postive..ndio nikawa nashangaa kua ndani ya miezi mi tano kashamiliki gari jaman its wonderfull sikupenda kufatiria juu ya huyo mzes coz it is non of my biznesa ila nimeshangaa kumiliki gari ndan ya mda mchache hivyooo wakati kwaoo maisha sawa na ya kwetu au bora hata kwetuu basiii msinielewe vibaya jaman
Hahahahahaha nitake radhii mkuu niolewe!!!! mimi sijamuonea wivu like nimeshangaa miezi mitano kumiliki gari jaman nimeshangaa tuu
Ulitamani wewe ndio uwe na gar halafu yeye hana. Imekula kwako sasa yy ndio analo. Jipange
Tena ashukuru aliachana na wewe unaonekana ulikuwa unamtia gundu tu.
Kuna thread ilikuwa inasema........unaweza kuwa na mtu ukaandamwa na mikosi.......au bahati.........haya sasa........ndio hiyoooo..............
hayo maneno unaongea ww ama?
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
Na kweli na hicho ndo kinachotutia umasikini wanaume wengi
Ila lawama zisiwepo, sawaa?
siku hizi nao wamejibariki bhanaa,kampuni ya 0715 imewapa fursa sawa na wanawake.