Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Mkuu umeifanya siku yangu kuwa njema, hapo pa kumsuuza moyo!!!
ndio hivyo mkuu,ndio maana muda mwingine hata hii mizing wanatupiga tusiwe tunawakatalia sana,we unadhani usipompatia wewe mtoto wa kiume nani atampatia
 
Asante wacha nijifunze kua kiboko ili asipatikane wa kunichomoka ...tatizo Bongo Hanna ziwa wala mto,,,, nitaishije ???? Bahari maji chumvi Mkuu ,naikoboko haishi bahrin...

Sijui unanishaulije
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Ukiboko haufunzwi. Ni mwanamke mwenyewe akiamua awe ziwa bahari au mto kwako lazima uwe kiboko nakwambia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…