Viben10 sipatani nao kabisa yaan mambo ya kuanza kugombania dressing table au kukupa mahela hizo mambo zimenishinda kuhudumia mfugo aina ya binadamuShuni bana. Ujue ndo Staili ya hapa bongo Ambayo Haijapigwa Stop Na Magu Kubebisha Vijana Wadogo. Wewe Njoo Tuu Kibeni Mie Nipo Tiali.
Duh! Hill sasa so neno zuri hata kidogo. Kila kiumbe eti?Na kila kiumbe aolewe! Amen!
Ndie mtoa madaUchebe ni member humu?
Wewe hunifaiDemi Usihangaike Nipo Hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we sahihisha kauli yako ww.....!!
We kumbe bado nikutoe nusra?tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hv ww umeolewa?Sasa mtu akiolewa asifurahi jamaani aonyeshe huzuni wakati maisha yenyewe mafupi haya.
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hivyo ikitokea furaha muhimu bana.
Kila mwanamke aolewe sio kila kiumbe.Na kila kiumbe aolewe! Amen!
mambo demiNa kila kiumbe aolewe! Amen!
Huyo atakuwa alishakata tamaa.Hivi kumbe enh? Kuna mdada mmoja anajifanya hataki kusikia habari ya ndoa, kumbe anatuzuga tu?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Viben10 sipatani nao kabisa yaan mambo ya kuanza kugombania dressing table au kukupa mahela hizo mambo zimenishinda kuhudumia mfugo aina ya binadamu
Mito jaman kwani we ni kaben10[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]