Kweli nimeamini lisemwalo lipo!

Hii ipobpande zote.
1. Kama kuna mademu wana mikosi ukilala nao pia wapo wenye baraka ukilala nao.

2. Kama kuna mademu wenye mikosi ukilala nao, pia wapo wanaume wenye mikosi ukilala nao.

3. Kama kuna wanaume wenye mikosi ukilala nao, basi wapo pia wenye baraka ukilala nao.

No double standard
 
Kupitia haya matukio ya kufanana mizinga isio na kichwa wala miguu nimehitimisha kua ni kweli lisemwalo kua wapo wanawake wanaokua na gundu na nuksi wapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwamba tukiachana tu wanamwibia hela[emoji23][emoji1787][emoji1787] .....hivi hapa full kudeka....akiniacha tu anacho[emoji23][emoji1787][emoji3062][emoji855]
Duuuh iyo noma sana ko mchizi hakai na salio kabisa
 
Tunajua kitambo sana hili.
Wengine ukioana nao TU unafukuzwa kazi au unapata kazi.biashara zinakufa au fanikiwa.
Ni hadi uwe na kipimo Cha roho kuyajua haya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…