Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.

Wewe ndiyo wa ajabu kabisa!!
Hiyo laki 5 si ungemtumia yule bibi yako kule kijijini anayekunywa uji wa fenesi badala ya kushindwa kupata fedha ya kununua sukari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna mwanamke hapa mtaani kwetu nimetongoza huu mwezi 7 sasa tunawasiliana vizuri lakini jibu hajanipa yaani we acha tu.

Mie kuna demu pia namfukuzia huu mwezi wa pili japo kuna siku nilimuomba date akakubali tukaenda baadae tukawa tunarudi home. Sasa nikajitahidi kujieleza mtoto wa Kiume mwisho wa siku ananiambia nitakufikiria sasa nashindwa nianzie wapi maana alisema Ngoja mwezi mtukufu uishe atanipa jibu. Umeisha tu jna nikaanza ...! Naona kuna ufadhali muda si mrefu namtafuna ...! Namtafuna na chumvi kabisa huyo ...!
Aisee bora funga imeisha mademu zetu tuanze kuwala ...!
 
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
Mkuu upo sahihi ,Mimi mwenyewe Mwezi wa Saba huu napambana na demu wa kilokole yaani nimejaribu kila aina ya upambanaji lakini wapi , kila aina ya silaha lakini wapi ,duuu hawa wanawake wanatutesa sana.
 
Tatizo unakuwa serious sana ndo maana...!! Mwanamke anaekupenda huitaji kuchukua Mwezi na kutumia nguvu nyingi kumpata.. Achana nae mkuu
 
Sasa huyo ndio wife material 100%. No shobo.. full misimamo.

Hiyo jamii ya wanawake wanaoweza kukataa 500000 kwa sasa wamebaki 1%. Waliobaki 5000 tu anaanza kuchekacheka.

Sasa huyo si kwamba hayupo tayari. Basi tu anahitajo uwe serious sana.

Nenda kwao na wazaz wakiwepo. Ataanza kukuelewa. Kama vip na mahari tupia.
Poamkuu
 
Stori zako mtaani zitakuwa sio nzuri
 
Back
Top Bottom