Kweli nimeamini kuna wanawake wagumu

Then ukashtuka kutoka usingizini maana mkojo ulikubana then baada ya hapo ukaamka ukaenda chooni, then ukarudi kulala
 
Tatizo unakuwa serious sana ndo maana...!! Mwanamke anaekupenda huitaji kuchukua Mwezi na kutumia nguvu nyingi kumpata.. Achana nae mkuu

Hawa madogo bana wanapata tabu sana kwa hawa viumbe. We ukishaona mtu yuko tayari kuweka 500k mezani ili apewe mzigo, jua kabisa huyo kwenye upande wa tekniki ni sifuri. Yaani hana anachokijua kwenye hii gemu. Mimi nilishawashauri humu kwamba muda wa kumfuatilia demu maksimam ni WIKI MBILI! Ikizidi hapo kama hujala hata french kiss we achana nae huyo mwanamke atakuja kukusumbua sana na atakuingiza garama kubwa.

Halafu wanawake wako wengi sana mtaani, hiyo 500k unaweza kula madem 10 wakali kuliko huyo, kwanini upoteze muda na mtu asieeleweka??
 
Mie kuna demu pia namfukuzia huu mwezi wa pili japo kuna siku nilimuomba date akakubali tukaenda baadae tukawa tunarudi home. Sasa nikajitahidi kujieleza mtoto wa Kiume mwisho wa siku ananiambia nitakufikiria sasa nashindwa nianzie wapi maana alisema Ngoja mwezi mtukufu uishe atanipa jibu. Umeisha tu jna nikaanza ...! Naona kuna ufadhali muda si mrefu namtafuna ...! Namtafuna na chumvi kabisa huyo ...!
Aisee bora funga imeisha mademu zetu tuanze kuwala ...!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Umekosea sana!
Kuna protocali za kuhonga mkuu, Demu hujamla hata Mara moja kuweka mahela mengi namna hiyo anaeza kuhisi unataka kumuambukiza magonjwa hatari.
Ilitakiwa ujikite kutumia pesa kwenye mazaga zaga tu, .

Sent
 
Wakati wewe ukihangaika na mapesa kumshawishi huyo mrembo,, kuna MWANAUME mwenzio anatafutwa na huyo unayehangaika nae,,,MAPENZI hayatafutwi yanakuja yenyewe..
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee sana, nikaziachia chips mayai na kuku ziongee, nikaiachia Saint Anna wine iongee, Nikayaachia maji ya Kilimanjaro ya Baridi yaongee.

Sikutaka kuongea kabisa siku hiyo maana nilishaongea sana bila mafanikio, Nikaamua niiachie pesa ya kitanzania iongee, baada ya kula tukiwa tunapiga story nikaweka Laki5 mezani nikamwabia hiyo itamsaidia kimatumizi.

Cha ajabu nayo alikataa, nikajua labda anaona aibu nikachukua pochi yake nimuwekee ndio akawa mkaliii "HUWEZI KUNIRUBUNI NISHAKWAMBIA SIPO TAYARII! " akaita bodaboda akaondoka zake na laki5 akaiacha.

Kuna wanawake wa ajabu sana.
 
Huyo mbona analika freshi tu ukiamua, tafuta washenga wazee wawili wa kimagumashi.

Badilisha upepo wa mtongozo jifanye ulikuwa unampima tu mpaka kufikia kumpa hela na umeona kweli ana msimamo wa ukweli kwamba unataka awe mke wako wa maisha obvious ukionesha nia ya kumuoa hamna pingamizi lazma ataingia kingi tu. Fanya kujitambulisha na kutuma barua ya posa na kweli fanya hivyo.

Ukishafikia stage umetajiwa mahari sasa unajipanga kulipa mahari peleka hela kidogo au unaweza usipeleke kabisa ila ukapewa go ahead ya kujitafunia mzigo bila kipingamizi. Tafuna mpaka utapoona hamu yako imeisha au chenchi imerudi.

Hii mbinu aliitumia baharia mmoja ni ticha kitaa alikutana na mtoto kigingi namna hio! Akamtatua chupi na kumpiga mkojo kisawasawa japo mwanzo mtoto alijifanya ana msimamo wa Cuf! Kilichofata baharia aliingia mwitu na kutoonekana tena huku akimuacha binti kwenye mfadhaiko 😂😂😂
 
hahaha umenichekesha sana kuna demu alikuwa mgumu balaa tulichofanya ni kutuma mshenga na kutia alfu ishirini katika barua ya posa ...
akajua kweli nina nia kumbe wapi
nilipotosheka nikambwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂 hii mbinu kama baharia huwezi acha kuitumia. Inaokoa muda na nguvu nyingi
 
Back
Top Bottom