Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,727
umeweka hele ya kubadilishia mboga😅😅😅. ogea nae maswala ya maendeleo yake sio umshikishe pesaa
Chai ya maziwaa mkuu katafute vitafunwaa tunyweeeKuna mwanamke anakataa ela ? Sisemei chenchi chenchi na shilingi nasemea ela noti nyekundu nyingi
Hii chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ni bwana anakubalika na kila mwanamke hilo halina ubishi




jaribu njia hii mzoeshe kumpa hela na mitoko kama wk khathaa kisha kata lain usimtafute wala kumuuliza ungalie matokeohayupo mbali kusema wakumtumia miamala,tukikutana akilia shida nampatia cash lakini duh........ Sio kwa ugumu huuu amenimeniwekea kumbukumbu ya kutongoza mda mrefu ambayo sijawai kupitia kabla yake
Halafu na mzigo hutoi sio?Mimi ningechukua laki 5 na ningeondoka.
Yaani ulikutana na boya
Kuna mwanamke anakataa ela ? Sisemei chenchi chenchi na shilingi nasemea ela noti nyekundu nyingi
Hii chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ni bwana anakubalika na kila mwanamke hilo halina ubishi





Na bado umekomaa nae auMimi kuna mwanamke hapa mtaani kwetu nimetongoza huu mwezi 7 sasa tunawasiliana vizuri lakini jibu hajanipa yaani we acha tu.
😂😂😂😂Mimi ningechukua laki 5 na ningeondoka.
Yaani ulikutana na boya
ninamkazia mpaka kesho sijachoka kumsumbua lakini angalau sasa ananitafuta kwahewa kutaka kujua hali yanguNa bado umekomaa nae au
mdomdo utampata tu kazananinamkazia mpaka kesho sijachoka kumsumbua lakini angalau sasa ananitafuta kwahewa kutaka kujua hali yangu
Halafu na mzigo hutoi sio?
Ndio halambi kitu
Roho mbaya tu hizo.Ndio,mzigo sikupi na laki 5 nachukua
Kwani nilikuomba?