kweli ni haki hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kweli ni haki hii?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by X-PASTER, Dec 13, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea akamwambia mamake

  "Mama angalia vile Wamarikani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?
  "
   
Loading...