Leta ushahidi brother!kwasababu ngozi nyeusi inahusiana na demonic entity.
Uko sahihi kabisa na sikatai..Watu mataahira wapo race zote. Binafsi nilikuwa nadhani wazungu ni watu smart sana kiujumla mpaka nilipoanza kufuatilia sana mada za Marekani na kuona pia kuna watu weupe wengi wajinga
Tatizo kubwa ni kwamba tunaishi kwenye dunia ambayo ni kawaida Waafrika/watu weusi kuwa dehumanized as whole hata akikosea mmojawapo. Mtu mweupe akifanya kosa tunamlaumu yeye peke yake kwamba ana matatizo binafsi, lakini mtu mweusi akikosea basi ni jamii nzima ya watu weusi inalaumiwa na kuanza kuquestion uwezo wa watu weusi wote kifikra na kimaadili
It's sad pale unapoona mtu mweupe akikosea na kuamini kuwa huenda ni mental issue au matatizo yake binafsi ila mtu mweusi akikosea basi watu weusi wote ni wajinga na wana matatizo. Inshort dunia haitaki mtu mweusi akosee
Watu weupe wakikosea ni sawa, ila watu weusi wanapaswa kuwa perfect, every one of them. Akikosea mmojawapo basi jamii nzima ya watu weusi ina matatizo
Laana ni sio mpaka ubadilike mwili ama kuwangiwa na wachawi..Kuna tofauti kubwa sana kati ya laana na lifestyle ya mwafrika
Hakuna Ushahidi...Kaini labda ndo aliwazaa waafrika
Mafundisho ya dini pia ni moja ya vifungo ambavyo watu wasio na hatima hujivika kama kifuli bila kujua hilo.Laana kubwa Mungu alitoa moja kwa moja kwenye Biblia
1. Laana kwa Nyoka (Shetani)
- Kutambaa kwa tumbo na kula mavumbi siku zote.
Matokeo: Uadui wa kudumu kati ya uzao wa mwanamke na uzao wake, hatimaye uzao wa mwanamke utamponda kichwa.
Mwanzo 3:14-15
2. Laana kwa Mwanamke (Hawa)
- Kuongeza uchungu wa kuzaa na tamaa kwa mumewe.
- Kuzaa kwa maumivu na mumewe kumtawala.
Mwanzo 3:16
3. Laana kwa Mwanamume (Adamu) na Ardhi
- Ardhi kulaaniwa kwa sababu yake.
- Kula kwa jasho, kufanya kazi ngumu yenye miiba na magugu, hatimaye kurudi mavumbini (kifo).
Mwanzo 3:17-19
Laana kwa Kaini labda ndo aliwazaa waafrika
- Kulaaniwa kutoka kwenye ardhi.
- Ardhi kutomzaa tena matunda, kuwa mkimbizi na mtangatanga duniani.
Mwanzo 4:11-12
5. Laana ya Kutotii Sheria / Agano
- Laana zote zitawapata wale wasiotii sauti ya Mungu.
- Laana mjini na shambani, maradhi, kushindwa vitani, utumwa na umasikini.
- Kumbukumbu la Torati 28:15-20
Hii inatuhusu