Sio lazima kila ndoa iwe na migogoro ya hivyo acheni kukariri mambo ya hovyo vijana mkataa ndoa ili muolewe nyie?Unaweza kula chakula kilichopikwa na mkeo ila ukashidwa kumla mpishi. Ndoa ni chuo.
Fanya maamuzi magumu sasaHata hao kina dada nawaona tu kwenye tv
Itakuwa labda alikuwa hampelekei moto inavyotakiwa, wengine wanafikiri labda ndoa ni kuvaa suti na shera.
Walikuwa wanafanya hivyo kwa sababu kulikuwa hakuna manukato na vipodoziKulikuwa na chumba cha baba na chumba cha mama
Ndoa ni tendo la ndoa, na si maliUna nyumba ngp na viwanja msee
Wale wanaotegemea ndoa ili wajikwamue kiuchumi, ndio wanao uana huko mtaani.Hitaji lako kuu kwenye ndoa ni kupikiwa?π€£π€£ ndiyo maana ndoa huwa hazidumu maana watu mna visababu visivyowafikisha mbali
Wengi wao hawalindi migongo yao.Uzuri ni kwamba hiyo kataa ndoa iko kwenye jamii ya watu wa daslam...waimba taarabu ila mikoa walipo wanaume vijana wanaoa vizuri na wanasimama kwenye uanaume wao no marrer waarrrr!
Ndoa bila mali bado mseeNdoa ni tendo la ndoa, na si mali
Mm mke Wang mama Matotanje ashanipikia ugali wa mihogo na samak na maziwa na naona pia amevaa kanga moja ameniambia nikimalza yupo ndan tukalale uenda Kuna chakula kingine nimeandaliwaNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Tendo likiwa na ufanisi, ufubaza akili za hawa viumbeNdoa bila mali bado msee
Ni kweli, oa mwanamke anayekupenda wewe na si wewe unaye mpendaUKIOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
πππ Huu mtegoMm mke Wang mama Matotanje ashanipikia ugali wa mihogo na samak na maziwa na naona pia amevaa kanga moja ameniambia nikimalza yupo ndan tukalale uenda Kuna chakula kingine nimeandaliwa
Wameshaona ndiyo njia rahisi kuliko kubaki kwenye uanaumeWengi wao hawalindi migongo yao.
Nyie vichogo bila kuwataja KATAA NDOA mada zenu zinakosa airtime au sio,Kataa ndoa saiv wapo vijiwen wanasubir mida ndio warejee magheton
Baadae msije kupigana shaba tuNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.