Kweli, ndoa ni tamu!

Nawachia nyie mlio kosea kuoa, mjimalize kwa bastola na visu
Sahivi Nyumba ni kutumia vijiko vya plastic, visu vikimaliza kazi vinafungiwa kwenye safe, lenye makufuli mawili, hafu mnagawana funguo.

Tunataka ukitaka kuua mtu, uite Boda, uende Dukani, ununue kisu, ndio uje kuua.

Usilete excuse za "zilikua hasira"
 
KATAA NDOA
NDOA NI KIFO
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI......... WAENDELEE WENGINE
 
Sawa mkuu ipo siku utaona rangi ambazo hukutarajia kuzionaa duniani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…