Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,058
- 64,015
Au sioNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Ndio ninmtu asikwambie mtuNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Kataa ndoa wengi ukiwatoa akina Hamonizer wengi maisha yamewaoiga Sana, ni chapombe hata hawana nuruNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Chakula kizuri ni kile kinachopikwa na mkeo, huku mkila mkiwa mnacheka kwa pamoja.Hapa kijiweni wanasema, kikubwa kula chakula kizuri, bila kubagua mpishi ni nani,
Mliokosea kuoa, endeleeni kula vyakula vilivyopikwa na beki 3Umemaliza kuongea?
Tumwache mpaka siku atachanganyikiwa mwenyewe tu bwashee 😃Huyu tumwambie au tumuache kwanza?
Tumia muda mwingi kupata mtu sahihi, mimi nafurahia chakula nilichopikiwa na mke wangu.Au sio
KUna uzi jamaa aligoma kumpeleka mkewe veta kusoma ipishiChakula kizuri ni kile kinachopikwa na mkeo, huku mkila mkiwa mnacheka kwa pamoja.