Hapo ndipo wanapotuacha, wazee wako walitakiwa wakuendeleze kwa hcho ulichokuwa unakipenda wao wakataka usome uwe na degree full of theories waanze kujisifu, wakati degree yenyewe haina msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi ya kupata mshahara mwisho wa mweziZamani kidogo, nilijaribu kutengeneza satellite receiver yangu binafsi pale home. kwakuwa nilivutiwa sana na maswala ya ubunifu electronics, kilichonikuta bwana, nilipata mikwaju ya kufa mtu, matusi na mavitu yangu yote yalichomwa moto, but now nimekuwa juu hadi wazee wakikumbuka wanaona aibu. This Is Africa.
Pia tumekua wa kwanza duniani kufanikisa kurusha helicopter kwa photoshop...Wanasema katika vitu vilivyo badilisha dunia ni 1. Umeme 2. internet.
Ninaamini bila wazungu tungeweza kugundua hivi vitu lakini ingetuchukua muda zaidi. Waarabu waligundua namba, Wagirikia waligundua demokrasia, tulikua wakwanza kugundua matumizi ya chuma.
Na unajua sikuhizi internet inarahisha sana, unapata magazines, jounals, wikipedia. Ni muda wako tu kama unaamua kwenda kwa mama Fatuma kujua mtaa wa pili kama baba amepata kazi au unanamua kujaza ubongo wako mwenyewe kimya ndani.
Hapo ndipo wanapotuacha, wazee wako walitakiwa wakuendeleze kwa hcho ulichokuwa unakipenda wao wakataka usome uwe na degree full of theories waanze kujisifu, wakati degree yenyewe haina msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi ya kupata mshahara mwisho wa mwezi
Tuna uwezo sawa kiakili, tatizo ni maumbile na resources tu wao ni wavivu sana na resource haziwatoshi ndo maana walikua wanatumia mda mwingi kufikiria njia rahisi ya kurahisisha kazi zao na ku-maximize matumizi ya resources zao. Wakati wao wanatakiwa kula matunda na mboga zikitokea kwenye friji kwasababu hazipatikani kirahisi, sisi tulikua tunakula matunda kutoka mitini moja kwa moja na kila msimu ukiwa na aina yake ya matunda na ukihitaji mboga za majani unaenda mabondeni kuchuma zilizojiotea zenyewe. Wakati wao wanahitaji na wanafikiria vifaa vya ku-purify maji yaliyochafuliwa na shughuli zao za kiuchumi, sisi tulikua tunajinywea maji kutoka kwenye chemi chemi za asiri zilizokua kibao na mpaka sasa bado zipo baadhi zinatoa maji safi na salama. wakati sisi tumezoea kila kitu kinawezekana kwa kutumia msuri kwa mfano ukitaka kushusha bei ya sukari unaagiza bei iwe shingapi na unavielekeza vyombo vya dola visimamie hilo, wao wanaanza kujiuliza nadhalia za Demand and supply zinasema nini Tehe!!Kuna kitu nilikuwa nawaza jinsi hawa jamaa walivyoweza kugundua umeme na kufanya kila mashine ili ifanye kazi lazima itumie umeme,huu uwezo wenzetu wameutoa wapi?
Kibaya zaidi walivyokuja kutengeneza mfumo wa malipo kwa njia ya kielektroniki,kwamba hauna pesa,haupigi simu au kuwasiliana.
Sisi weusi tulikosea wapi?
Mwenye chochote achangie hili tuzidi kueleweshana maana hapa pia tunawasiliana kwa nguvu ya umeme na pesa.
Nachanganyikiwa kiukweli uwezo wa hawa jamaa.
ndugu hapa hakuna cha unchunguzi wala nini, we sema MUAFRIKA amefanya nini na nini.Kabla ya kupost mada au wazo ambalo wewe unadhani ni jipya au kitu kigeni ebu fanya utafiti kwanza. Kwa jinsi nilivyokuelewa unadhani hakuna ugudunzi umefanywa na Waafrika??????? Fanyia kazi eneo hili na utashangaa mambo waliyoweza kugundua ambayo dunia inaendelea kuyatumia. Acha akili ya kujidharau
Je ubunifu wako umesaidia nn katika taifa hili na jamii inayokuzungukaZamani kidogo, nilijaribu kutengeneza satellite receiver yangu binafsi pale home. kwakuwa nilivutiwa sana na maswala ya ubunifu electronics, kilichonikuta bwana, nilipata mikwaju ya kufa mtu, matusi na mavitu yangu yote yalichomwa moto, but now nimekuwa juu hadi wazee wakikumbuka wanaona aibu. This Is Africa.
Asante kwa kujitambua.Nina project ya Kifaa cha kupambana na mbu kwa nchi za Afrika.Kuna unaweza kuwa na input yoyote karibu uchangie utajiri wako.Napatikana kwa:sanctuss16@gmail.com
Very low. Kufikiri toka lini ikawa ni uvivu mkuu???Tuna uwezo sawa kiakili, tatizo ni maumbile na resources tu wao ni wavivu sana na resource haziwatoshi ndo maana walikua wanatumia mda mwingi kufikiria njia rahisi ya kurahisisha kazi zao na ku-maximize matumizi ya resources zao. Wakati wao wanatakiwa kula matunda na mboga zikitokea kwenye friji kwasababu hazipatikani kirahisi, sisi tulikua tunakula matunda kutoka mitini moja kwa moja na kila msimu ukiwa na aina yake ya matunda na ukihitaji mboga za majani unaenda mabondeni kuchuma zilizojiotea zenyewe. Wakati wao wanahitaji na wanafikiria vifaa vya ku-purify maji yaliyochafuliwa na shughuli zao za kiuchumi, sisi tulikua tunajinywea maji kutoka kwenye chemi chemi za asiri zilizokua kibao na mpaka sasa bado zipo baadhi zinatoa maji safi na salama. wakati sisi tumezoea kila kitu kinawezekana kwa kutumia msuri kwa mfano ukitaka kushusha bei ya sukari unaagiza bei iwe shingapi na unavielekeza vyombo vya dola visimamie hilo, wao wanaanza kujiuliza nadhalia za Demand and supply zinasema nini Tehe!!
Mkuu umenena kweli, nachukiaga sana watu wanaojidharau. Mungu ameweka kitu chatofauti kwa kila mtu bilakujali rangi ila mzngira anayoishi mtu na vitu vinavyo mzunguka ndoo humpelekea afikilie nn cha kufanya kpya.Kabla ya kupost mada au wazo ambalo wewe unadhani ni jipya au kitu kigeni ebu fanya utafiti kwanza. Kwa jinsi nilivyokuelewa unadhani hakuna ugudunzi umefanywa na Waafrika??????? Fanyia kazi eneo hili na utashangaa mambo waliyoweza kugundua ambayo dunia inaendelea kuyatumia. Acha akili ya kujidharau
you nailed it my manAkili ni moja ila tunatofatiana matumizi
Mkuu hapa utasema "UJINGA WAKWETU"Nikiwazaga kuhusu wazungu ndo naishia tu kusema DUNIA YA MUNGU , VITU VYA MZUNGU, alaf BAADA YA MUNGU NI MZUNGU, ..hawa jamaa cjui kama wamependelewa vile..
Nashindwa kuelewa kwa nn hawa jamaa wametuzid kiasi hiki.. Yan kila kitu ni wao, mi nahis jamaa wana akili za ziadaMkuu hapa utasema "UJINGA WAKWETU"