Kweli mtaliki hatongozwi


mjini shule ila usije na madaftari
 
Hahahahahahahhahahahaha watu na migegedo yao na hiki kimvua endelea kugegeda tu
 
Hahahahahahahhahahahaha watu na migegedo yao na hiki kimvua endelea kugegeda tu

vp mbona uumecheka sana?! Umeona mwenzio kaopoa mwalim halaf ww unalia na wa benk wako
 
Waalimu bana, Mungai aliposema wanapoleta mabox ya chaki kwenye shule zenu wawaletee na condom mkaona mnaaibishwa!!?
 
Hahahahhaha Jf is never boring,mtoa mada anavojibu sasa,ah
 
Hahahaha iyo ni kweli mtalaka hatongozagi ata cku moja chamsingi angalia tu jama ni wife material eka ndani maana mapenz xaiv nibora kuishi na shetani unayemjua kuliko ibilisi usiyemfahamu.

kwa jinsi jamaa alivyomdescribe, sidhani kama kampa heshima ya kuwa wife material... au jamaa hajui maana ya heshima kwa wapenzi wetu
 
Hpngera kwa kumiliki gx100


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hilo kabumbu ina maana mlikua viongozi wa michezo huko shulen au wote mna interest za mpira alafu kingine mlieka supersport ama maana hakuna kabumbu linalochezwa usiku kucha embu fafanua
 
Haya bwana ombi lako limeckilizwa na kesho pia itanyesha ili uendelee kujishindia.
 
we nae kwa misifa, sijui kabila gani wewe! mara wayn mara gx100; usikute hata baiskel hauna. Halafu inaonekana huyo Classmate wako kakuzd elimu. Wajinga ndio waliwao. Mgegedo mwema mwaya natania tu.
 
Hakuna kupangwa wala mipango,,,,,, dada katumia akili yake mjini pagumu.

lakin aangalie jamaa asije akawa funua funika..... Kwasababu huy jamaa naye post zake ni za uzinz tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…