Kweli mjini ni msingi kiuno..

Mbona siku hizi mashoga ni wengi sana TZ? Mungu tunaomba utuepushie mbali hili janga.
 
Kutoka 20:14
Usizini

Wakorintho 6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Wakorintho 6:9
Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu
 
Neno mswano halitumiwi ja aina ya mwanamke uliyejaribu kumzungumzia. Corporate sluts wana lugha yao.
 
Kumbe ni boya, mtafute boya mwenzio akutafutie wapakua vinyesicocastic
Ila Waja, mbna siku hizi mnanijia kwa haraka sana? Afu nimetulizana na sitaki heka heka?!

Jiheshimu, tusitafutiane Ban, nilishavuka huko.
Mxxxxiiiiieeeew!!
 
Nauona ujio wa JF Danguro forum,
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Picha, ukichezesha kiuno na kuingiza pesa zaid ya mshahara.
 
Mkuuu unamatatizo ya saikolojia kujifanya ww mwanamke na una mda mrefu hujat..ia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…