Kweli mapenzi yana run dunia

Kweli mapenzi yana run dunia

Haya ndio yaleyale ya wamaasai, wakiwa porini ni majasiri kweli hadi wanaua SIMBA lakini wakija mjini hawana lolote kazi kusuka wanawake rasta.

Mwanaume mzima na ndevu zake tena kazinyoa vizuri unaanzaje kulilia 'ke'?
Hahah
 
Kwaiyo ukaona inafaa kabisa kuleta hayo 'makamasi' huku..rubbish!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee jamaa wewe hamna hata siku moja... Ukapongeza thread yoyote humu wee kazi yako kukosoa, unanifurahisha sana comment zako [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
MAPENZ NI ZAIDI YA PHYSICAL APPEARANCES ZETU, MWEUSI, MWEUPE, MNENE N.K KUNA VITU UNAPAKA KWA MWANAMKE UKIANGALIA TANGU UMEANZA KUDATE HIKO KITU HAUJAWAI KUPATIWA
 
Pamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi

kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa ukizingatia kuwa hawajawai hata kutambulishana kwa wazazi alafu demu mwenyewe ni wakawaida sana ukilinganisha na mademu wengine wa jamaa
uyu demu atakuwa anakitu cha tofauti sana na mwonekano wake

Ila mapenzi haya kweli hayana ugumu wala ubabe.
Alilia Ruge kwa Zamadari itakua huyo?

BenPol kaimba
"....kidumeee haimaanishi, siwezi kulia , katika mapenzi"
 
Siku zote mapenzi ni kitu kingine bana na huwa hayana mbabe ikitokea yamemshika mtu yanamshika haswa. Huwezi jua huyo dada mbali na ukawaida wake ana kitu gani ambacho kimemfanya huyo kaka ashindwe kuacha kumwaga chozi lake hadharani.

Pole kwake huyo jamaa.
hakika!
 
Pamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi

kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa ukizingatia kuwa hawajawai hata kutambulishana kwa wazazi alafu demu mwenyewe ni wakawaida sana ukilinganisha na mademu wengine wa jamaa
uyu demu atakuwa anakitu cha tofauti sana na mwonekano wake

Ila mapenzi haya kweli hayana ugumu wala ubabe.
Ningekua karibu na huyo dada ningempa soda na kiti..akae..angekunja na nne kabisa...dadeki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom