Kweli mapenzi si pesa!

Kweli mapenzi si pesa!

PESA.jpg
Ushahidi
 
Nipe nikupe haiwezekani Abadan, upendo kwanza pesa zifuate.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1397737884.220504.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397737884.220504.jpg
    66.6 KB · Views: 57
Inategemea unamaanisha Pesa kwa namna ipi,..1. Pesa "as a medium of exchange"? 2. Pesa utajiri. Kama jibu ni moja basi 100% kweli,kwasababu dunia ya sasa kila kitu kinahitaji pesa for exchange,kwa mfano. Ukienda hospitali huwezi kupata huduma kama huna pesa ya kumwona daktari au ya kununua dawa. Hivyo katika mapenzi Pesa kwa maana hiyo namba 1 inahitajika kwasababu kuna mambo ya msingi na ya lazima kama kula,makazi na malazi ambapo kuvipata hivi kwa dunia ya sasa pesa lazima.
Kama utakuwa umemaanisha namba 2 yaani utajiri,basi hiyo si kweli,wapo watu waliishi,wameishi,wanaishi na wataishi katika hali za kawaida tu na mapenzi yakawa motomoto.

Hii ya pili mkuu!
 
Dead presidents, big paper ("for the money")
Benjamins, skyscrapers, my niggaz get ("money")
My bitches get ("money") like the strippers get
From the block to the club I'll make it rain ("money")
In California niggaz die ("for the money")
From the South to New York, them bullets fly for the ("money")
Don't stop gettin' ("money") It don't matter where you from
If you hustle mother----er keep gettin' that ("money")
 
Mimi nitatafuta asiyependa pesa hata Kama ninazo sitomuonyesha mwanzoni.

utamjuaje huyo asiyependa pesa???
pana kazi ngumu kwa maana unaweza kumpata asiyependa pesa ila akawa na tabia nyingine mbaya zaid

kikubwa ni kumshirikisha MUNGU hasa kwenye suala la kutafuta mwenza wa maisha
 
naomba ushauli nilikuwa mpz wangu ambaye nilimpenda kupita maelezo siku wahi kuwa na migogoro naye hata siku moja niliampka hasubuhi nika kuta sms ikiwa ina sema hivi mimi nalazimisha kukupenda ila hisia zangu haziko kwako je nifanye naomba ushauli w
 
Back
Top Bottom