Kweli mapenzi si pesa!

Kweli mapenzi si pesa!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
WanaJF habari za asubuhi!

Mimi ni miongoni mwa wafuasi wa ile imani kuwa mapenzi si pesa, na hapa naweka 1 ya mashairi maarufu sana, kwa waliosoma A level English language na hasa Paper II ama literature wanalijua hili!

EAT MORE

Eat more fruits! "The slogans say"
More fish, more beef, more bread
but I'm on un-employment pay
My third year now and wed.

And so I wonder when I'll see the slogan,
the slogan when I pass
the only one that would suit me,
Eat more bloody grass.

Jamaa kapigika sana tu, na bado alikuwa ndani ya ndoa! Kweli kama mapenzi ni pesa funga ndoa na Bank!

Joe Corrie, Poetry in A - level literature
 
Mapenzi ni pesa,ukiwa na pesa unampata mpenzi wa aina yeyote unayemtaka.
 
Acheni kudanganyana kwa hizo poem, Jaribu kusitisha huduma za kifedha kwa huyo mpenzi wako mke/girl friend halafu tuletee feedback action yake utasikia " mpenzi umepata mwanamke mwingine"
 
Daaah umenikumbusha mbali sana aisee!
 
Inawezekana huyo amebeba tu wala c mwanamke wa ndoto zake lkn angekuwa na pesa angechukua anayemtaka
 
Mnajifariji na kutiana moyo lakini ukweli mnaujua, na hauwezi kubadilika, Mapenzi ni pesa.

Km ndio hivo mbona ndoa za matajiri wengi zinameguka? Mbona wengi wana pesa na bado wametalikiana?
 
Mapenzi ni pesa,ukiwa na pesa unampata mpenzi wa aina yeyote unayemtaka.

Kumpata unaemtaka sio kipimo sahihi cha mapenzi! Ndio maana hata pale HUGO House ukienda pia utawapata wengi tu unaowataka and yet that is not love!
 
Km ndio hivo mbona ndoa za matajiri wengi zinameguka? Mbona wengi wana pesa na bado wametalikiana?
Anaweza akawa tajiri lakini mwanamke hapati mahitaji ya muhimu, usifikirie wote walioolewa na matajiri wanafaidi utajiri wa waume zao.
 
Acheni kudanganyana kwa hizo poem, Jaribu kusitisha huduma za kifedha kwa huyo mpenzi wako mke/girl friend halafu tuletee feedback action yake utasikia " mpenzi umepata mwanamke mwingine"

Nimekuelewa, ameondoka kwa kuwa umesitisha huduma! Na huko anakokwenda anafuata huduma ulizositisha wewe, hafuati mapenzi! Hawa watu wapo!
 
PESA.jpg
 
Anaweza akawa tajiri lakini mwanamke hapati mahitaji ya muhimu, usifikirie wote walioolewa na matajiri wanafaidi utajiri wa waume zao.

Km umeolewa na tajiri afu hupati mahutaji yk means hakuna mapenzi hapi! Ila pesa ipo!
 
Inategemea unamaanisha Pesa kwa namna ipi,..1. Pesa "as a medium of exchange"? 2. Pesa utajiri. Kama jibu ni moja basi 100% kweli,kwasababu dunia ya sasa kila kitu kinahitaji pesa for exchange,kwa mfano. Ukienda hospitali huwezi kupata huduma kama huna pesa ya kumwona daktari au ya kununua dawa. Hivyo katika mapenzi Pesa kwa maana hiyo namba 1 inahitajika kwasababu kuna mambo ya msingi na ya lazima kama kula,makazi na malazi ambapo kuvipata hivi kwa dunia ya sasa pesa lazima.
Kama utakuwa umemaanisha namba 2 yaani utajiri,basi hiyo si kweli,wapo watu waliishi,wameishi,wanaishi na wataishi katika hali za kawaida tu na mapenzi yakawa motomoto.
 
Back
Top Bottom