Kweli mapenzi kiboko,mandela alishindwa kusamehe..

Kweli mapenzi kiboko,mandela alishindwa kusamehe..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
habar zenu wana MMU..

HAYATI8NELSON MANDELA ambae alikiua kiongoz mkubwa duniani ambaye alijpatia heshma kubwa baada ya KUWASAMEHE MAKABURU waliomtesa na kumuweka jela MIAKA 27..

lakin pamoja nakuweza kuwasamehe wazungu kwa yote alyowafanyia,alshndwa kumsamehe alyekua mke wake bibie WINNIE MANDELA ambaye inasemekana wakat MANDELA yupo gerezan WINNIE alikuwa anamsaliti,na hyo ndo sababu ilomfanya aachane nae na kumchukue mke wa HAYATI SAMORA MACHEL,bibie GRACE MACHEL..

ebu ona mapenzi yalvo na nguvu ALIWEZA KUWASAMEHE WATU WALOFANYA AKAE JELA MIAKA 27 NA KUMNYANYASA SANA,akashndwa kwa mkewe alyemsaliti..

kwel MAPENZ YANA NGUVU..

RIP MADIBA and your MEMORY IS ON...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom