Kweli Mapenzi jalala.

Kweli Mapenzi jalala.

WEWE umetumia kipimo gani ukapata jibu kuwa mapenzi ni jalala.?
 
kipimo cha mapenzi ni pesa...the more u have the more love u get
 
Money makes the world go around!.......no money no love........tehe tehe.........hard to swallow,but naked truth:majani7:

Mamaa Lara1,Ciello!Mamushka.......balelezeee
 
Mwanangu kwani ulilenga kusema nini? Huwezi kusema mapenzi ni jalala halafu watu wakayaanika. Ni nani mwenye kichaa anaweza kuanika jalala? Mbona mapenzi ndiyo mzazi wa sendoffs kitchen parties na hatimaye ndoa? Je ingekuwa jalala si watu wangeona kwa siri? Hebu tupe busara zako kijana wangu au umetumia balaa lililokukuta kutoa hitimisho la jumla jambo ambalo ni baya kuliko lolote kiakili?
Nini kipimo cha Penzi.?
 
ukitendwa na mapenzi, unaanza kutunga theories.
 
Hivi jalalani si ndio kunakotupwa visivyofaa? au?
 
kipimo cha mapenzi ni pesa...the more u have the more love u get

Si kweli. Kama wewe ni mwanaume tajiri utapata wanawake viruka njia ambao watapenda pesa zako na si uzuri wala utu wako. Wao watakuja kwako na kujipendekeza wengine watalia kuwa hawajawahi kupenda mtu kama wewe ili mradi wewe tu utegeke na kuingia mkenge kwa kuwajengea nyumba huko ukweni, kuwanunulia magari ya kifahari, na kuwapa pesa za kutanulia. Unaambiwa hapendwi mtu hapa bongo, pochi ni kipenzi.
 
Hivi jalalani si ndio kunakotupwa visivyofaa? au?

Ni kweli na ndiyo maana unaambiwa mademu wa kibongo si wa kuoa, na sababu yake ndiyo hii. We umeona wapi muhogo wa kuchoma na kachumbali au kuku na chips ikawa ndiyo silaha ya kuto.mba wake za watu? Hapa Bongo hii ni fasheni na huko uswahilini ndiyo kasheshe, unaambiwa chupa ya togwa tu unalala na mke wa mtu mpaka asubuhi.
 
Hiyo class ya wanawake unaokutana nao wanaoshobokea chipsi kuku na mihogo na kachumbari ni ya pande zipi? Nna mpango wa kuanza pimping business, tafwazali.
 
Mbona kila sehemu hapa Bongo, yaani hazina pande maalum. We ukiona demu unamaindi jaribu kumpa ofa ya mlo au hata soda/juisi utaona mwenyewe. Siyo unampa ofa halafu utegemee yeye ndiye akutongoze, hapana. Inabidi wewe mwenyewe ndiyo uchakachalike.
 
Hiyo class ya wanawake unaokutana nao wanaoshobokea chipsi kuku na mihogo na kachumbari ni ya pande zipi? Nna mpango wa kuanza pimping business, tafwazali.

hahaha! Hao wanaitwa maponeo unakula tu kwakuwa unanjaa huku unajiapiza sinto kula tena!
 
Si kweli. Kama wewe ni mwanaume tajiri utapata wanawake viruka njia ambao watapenda pesa zako na si uzuri wala utu wako. Wao watakuja kwako na kujipendekeza wengine watalia kuwa hawajawahi kupenda mtu kama wewe ili mradi wewe tu utegeke na kuingia mkenge kwa kuwajengea nyumba huko ukweni, kuwanunulia magari ya kifahari, na kuwapa pesa za kutanulia. Unaambiwa hapendwi mtu hapa bongo, pochi ni kipenzi.

kwangu mie hiyo inatosha kuwa unajua kabisa kuwa hapendwi mtu inapendwa pochi...hence ndio maana nikasema kipimo ni pesa....alafu jua kimoja wewe ukishalijua hilo utakuwa huna tabu...sii unajua wanataka pesa basi nawe unawagegeda tuu na kuwa nao wengi...hutaweka moyo wako eti kwa demu mmoja
 
Sasa hapa unamkomoa nani? Yaani unatombana kwa malengo ya kuliwa pochi? Si bora uhamue moja tu kutombana na malaya ili uwalipe.
 
eh kwani wadhani mie natombaga nani? mie malaya tuu!!! mie sitaki ujinga wakudanganywa bby i love u kumbe upo after my money....malaya yupo direct to the point...nipe hela nakupa papuchi
 
Te, te, te....Shikamoo! I got you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom