Uchagani pamenikataa!!

Uchagani pamenikataa!!

Ayatollah the Bird

Senior Member
Joined
Jul 30, 2026
Posts
198
Reaction score
439
Nimejaribu kuazisha penzi kila nikianzisha panazingua.saiv nmeiaga mkoa huo kilimanjaro rasmi. sasa nimeamua kuzama mikoani nikajaribu.maana uchaggan mapenzi hamna.
 
Yaani Mwanamke mmoja wa kichaga amekukataa . Basi kila siku ni kuja kuwasema JF na kuwabaragaza wanawake wote wa kichaga.

inashangaza kwakweli kama hii ndio Type ya wanaume tulioko kwenye Jamii.

NB
Ukiona mwanamke wa Kichaga au mwanamke yoyote anakuzungusha zungusha na kukuzingua. Ishu sio yeye. Ishu ni wewe.
Jipambanie Bro. Jijenge .kuna kitu hakiko sawa upande wako.
Kirekebishe hiko kwanza
 
Duuh mkuu kama hao umewashindwa hawa wengine utawawwza kweli.....acha ubahili mkuu hao mchawi pesa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom