Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

Kweli mapenzi hayana mwenyewe...

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
6,641
Reaction score
9,412
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
 
Kwa sababu kwa assessment yako, pamoja na kumfungulia uzi inaonesha umemkubali / unamuwaza / amekukaa. Ungekula tu kichwa mkuu, kwani C kitu gani hadi amlize? Anacho nini ambacho we huna? C kabandua we bandika dada!
 
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛

Huyo kaka angekuwa njema kimaisha asingepanda mwendokasi..hlf hivi siku hizi kuna wadada bado wanapenda? Mm najua wadada siku hizi mnachotupendea ni pesa tu.. agata edward
 
IMG_6096.JPG

Unakuta anabembeleza kitu kama hii
 
Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake jina linaanzia na C warudiane!!ila huyu C anaonekana mgumu sana !!!kaka anakaribia kulia.😀😀 ........Wewe C popote ulipo utamuua mwenzio..nb huyu kaka kutokana na mazungumzo yake sio wa dar...poleni sana wanaume wa mkoani sikujua mapenzi yanawatesa hivi.😛
wadada bana nyinyi shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom