Hivi karibuni nilienda Mbeya, nikakutana na kijana wa Kisafwa aliyekuwa akiwapa burudani mafundi walio 'site' yangu. Kilio chake ni maisha magumu. Anaimba kama Lucky Dube katika wimbo wa Together as One. Ubora sio mzuri sana lakini sikiliza na wewe!!!
nampata huyo mshkaj,kuna siku aliwahi kuniimbia shop kwangu..lakin huyo aliyeigeuza ikulu kuwa pango la RIZ1 hana hata chembe ya huruma,anasema uchumi unakua kwa kasi..