Hakuna sehemu ya kupata connection haswa ukiwa umejibrand vizuri kama kwenye mikutano (conferences) na semina. Hapa unabidi uone ipi ya kwenda japo wengi wanaziogopa sababu nyingine zipo paidmtu hunywi pombe utapataje connection?/Walevi wana roho nzuri mno sijapata kuona
Hata walio Tiss wote walipata kazi hizo kwa connection,inasikitisha!
Tz bila connection hata msibani unaweza usipate msosi.
Haaaah....yaan bila connection hapa town ata mochwali hupelekwi.
Kwa hiyo unataka kusema Utumishi hakuna Connection ?Hii Tabia ya connection kwenye nchi hii ilitaka iwe kansa kwa bahati nzuri sekratarieti ya ajira ikaanzishwa,pamoja kuwa na changamoto imesaidia sana watoto wa maskini kupata fursa otherwise mambo yangekuwa magumu sana,kwasababu viongozi hawa wa serikali wanapenda kuwaweka ndugu zao sehemu zenye ulaji!Unakuta mtu anajifanya anaipenda Ccm kindakindaki kumbe kuanzia mtoto,mjomba,ba mdogo wapo kwenye mataasisi kwaajili ya connection zake...Pigana mwenyewe ya nini uletewe mezani.
Kwa hiyo unataka kusema Utumishi hakuna Connection ?
Mawazo yako mkuu, Ila ukweli Ni kuwa kwenye hilo kundi Ni Mimi tu ndo Nina vyeti wengine wameungaunga tu. Labda ndo maana.Mara nyingi anaesema wenzake wachawi yeye huwa mchawi kwakiwango cha juu sana kiasi kwamba akiongeza kidogo tu anakuwa malaika wa kuzimu. Asante
Hata mm nakumbuka niliingia ofisi fulani na barua yangu ya kumtaka boss wa hapo anipangie majukumu bila kuchelewa.Wakabaki wanauliza uliza mara hatujatumiwa e mail mara kazi zilitangazwa lini mm nawachora tuu ikabidi wakubali kunipokea docs zikafuata baadae huwa wanashangaa docs zangu za dip lakini bodi wanakata chaonil
Nilomba intern sehem iv ambayo nimakao makuu ya ofice fulani iv apa TZ nikakubarika na mwenye kampun nilipofika oficini kila mtu ananiuliza umeletwa na nani kwani kila mtu ameletwa mgine sijui na mama mngine na baba sijui na nani me nikawambia nimekuja mwenye maisha haya bana
We jamaa sio mtu mzuri, hiyo ni connection plus ten percent. Wenye masikio ndo wamesikia tu.Hata mm nakumbuka niliingia ofisi fulani na barua yangu ya kumtaka boss wa hapo anipangie majukumu bila kuchelewa.Wakabaki wanauliza uliza mara hatujatumiwa e mail mara kazi zilitangazwa lini mm nawachora tuu ikabidi wakubali kunipokea docs zikafuata baadae huwa wanashangaa docs zangu za dip lakini bodi wanakata chao
Basi wanajuaga mm teeth kumbe connection,😆😆😆😆
Hakuna cha ten percent ni hiyo hiyo connection maana na mm nikipata fursa nawafanyiaga watu connectionsWe jamaa sio mtu mzuri, hiyo ni connection plus ten percent. Wenye masikio ndo wamesikia tu.
Kwaiyo unawa connect nao wanaku connect yani munakonektiana, basi sawa.Hakuna cha ten percent ni hiyo hiyo connection maana na mm nikipata fursa nawafanyiaga watu connections
Huyu to ndo anaruhusiwa kukusaidia !!!
hata ww waweza nisaidie...nipe connection mkuu...umeadimika