technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,444
- 50,763
Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.
Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?
Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .
Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .
Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.
Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..
Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?
Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..
Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?
Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?
Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.
Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.
Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.