Kweli Lowassa na Sumaye ni matapeli wa siasa

Naamini hivyo mpaka kufa kwangu.......
Mkuu kuna tetesi kuwa ule uzi juu ya Mwigulu ulikuwa karata yako ya kutokea. Na kwamba baada ya uzi ule na mawasiliano yako na Mwigulu ukapewa special assignment kuhusu watu fulani upambane nao from within kwa maslahi yako kwa makubaliano fulani.
Jee tetesi hizo ni kweli au maneno tuu? Mkuu ni swali tuu nothing personal.
 
Si uwe una update nyuzi zako,baada ya siku mbili utakuja na uzi kama huu!
 
Lowassa anaelekea kuitwaa chadema kwa 100%,makamanda hofu imewajaa,ulisikia wapi kuna kamati kuu ya watu watatu?basi ilikaa Mbeya,kamati wajumbe walikuwa Mhungaji Msigwa,Baregu na Mbowe,wakamkata Ole sosopi kwa kuhofia ni mmasai anatumika na Lowassa
 
Sio kweli kwamba LOWASSA ni fisadi, hakuna ushahidi wowote zaidi ya Porojo tu na maneno ya vijiweni!

Lowasa ana makando kando mengi sana

Ana tuhuma nyingi sana amabazo hata yeye hajawahi kuja public kujisafisha

Kimsingi ameharibu sana upinzani na kuchelewesha sana safari ya mabadiliko ya kweli iliyokuwa imeshaanza
 
Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.

Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?

Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .

Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .

Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.

Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..

Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?

Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..

Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?

Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?

Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.

Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.

Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.
Unasema kupelekwa mahakamani sio kigezo cha kuwa fisadi sasa kama ni hivyo hata wewe ukikurupuka huko uliko ukasema fulani fisadi tukuamini tu kwasababu wewe huwa hudanganyi?
Kadri siku zinavyozidi kwenda naona uwezo wako wa kujenga hoja unapungua......
Tukijaribu kukonekti dots inawezekana Mwigilu alikufuata chemba sio bure!
 
Mkuu hawa sio wa kunyamazia hata kidogo wanua upinzani na ndio wanasabbisa ccm iendelee kutawala nitawasema mpaka wastaafu siasa au warudi ccm kwa mafisadi wenzao....

Lowassa alikufanya nn mkuu,,alikutia dole la Kati nini
 
Lowasa ana makando kando mengi sana

Ana tuhuma nyingi sana amabazo hata yeye hajawahi kuja public kujisafisha

Kimsingi ameharibu sana upinzani na kuchelewesha sana safari ya mabadiliko ya kweli iliyokuwa imeshaanza
Ifike mahali tufunge huu mjadala.
Kusema tu Lowassa ni fisadi bila kuja na uthibitisho wa uhakika ni kukiuka haki ya msingi ya binadamu. Lini tutaupata uhakika kuwa Lowassa alilibia taifa hili? Na mali za Tanzania alizojimilikisha lini zitarudi? Tunataka Lowassa apate haki yake na Taifa la Tanzania lipate haki yake.
Hizi porojo za mitaani hazitatusaidia chochote.
 
Ukwel ni kua wewe technician huwez kua na akili ya zaid ya watu mill6.Ni hayo tu mengine hua unajifurahishaga tu maana akili yako ndiyo serikali yako so ni ngumu kukubadili.Unajidai kuja na stail yako ya kipekee kumbe ni pumba tupu unapumulia maharagwe tu
 
Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.

Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?

Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .

Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .

Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.

Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..

Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?

Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..

Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?

Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?

Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.

Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.

Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.
Huyu niwa pili hapa ukumbini week hii wanaimba nyimbo tofauti na walivyokuwa.

Umemsoma kule uzi wa Tanesco?
 
Ifike mahali tufunge huu mjadala.
Kusema tu Lowassa ni fisadi bila kuja na uthibitisho wa uhakika ni kukiuka haki ya msingi ya binadamu. Lini tutaupata uhakika kuwa Lowassa alilibia taifa hili? Na mali za Tanzania alizojimilikisha lini zitarudi? Tunataka Lowassa apate haki yake na Taifa la Tanzania lipate haki yake.
Hizi porojo za mitaani hazitatusaidia chochote.
Hua inawhangaza sanaaa huu ni karibu mwaka wa9 sasa kila siku unamuita mtu kwa jina bovu na anakubembeleza walau umpeleke mahakaman ili kila kitu kiwe wazi,ajabi mtu anakimbilia chooni akirud anakuja na madai yale yale.Hii 1:4 inawahusu watu kama hawa
 
Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.

Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?

Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .

Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .

Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.

Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..

Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?

Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..

Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?

Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?

Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.

Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.

Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.
Mkuu huu Uzi ni 5star
 
Naamini hivyo mpaka kufa kwangu.......
1:4 inakuhusu sana hiyooo,na utaamini hivyo mpaka kifo chako na utaenda kuchomwa tu maana bichwa lako hua unafugiaga nywele tu.Unalalamika kama mtoto wa kike kisa ulimezeshwa na wazembe wenzio ccm wanaoropoka hovyo pasipo ushahid kisa uroho wa madaraka tu nawe ulivyopunguani basi umebeba na kuifanya Singer yako.Tulitegemea uwe ni mtu wa kuhoji kwa kauli nene kwa nn mwakyembe ambaye alijinasibu kua alisimamia suala la Richmond kwa nn akwambie mahakama ya mafisad imekosa kesi.We umekaa na njaa zako unaanza kutuletea ndoto zako zq kitanda hapa
 
Sumaye kufanya Kazi Serikalini kwa miaka 10 akiwa waziri mkuu sana sana alichokifanikisha ni kuiba mashamba ya wananchi.

Kuuza nyumba za Serikali bila huruma ndio yangekuwa mabadiliko?

Eti tuliuza nyumba za Serikali kwa sababu zilikuwa nyingi shame on you .

Eti ukitaka mambo yako yanyooke vizuri kuwa ccm halafu ukinyang'nyanywa shamba ulilokwapua unaanza kulia lia .

Lowassa miaka mitatu ya uwaziri wake anataka kuleta hadi nvua ya bandia na makampuni ya kitapeli ya kufua umeme.

Halafu akiambiwa fisadi eti Mwenye ushahidi apeleke mahakamani hivi kutopelekwa makamani ndio kigezo cha wewe kutokuwa fisadi?..

Hivi niwaulize swali wafuasi wa Lowassa hivi Chenge ni fisadi au sio fisadi?

Hivi watu kama Lowassa na Sumaye waliotuaminisha kuwa wanauwezo wa kwenda Ikulu wanakosaje uwezo wa kupigania maslahi yao ya kuzuiwa kufanya mikutano ya siasa mpaka 2020?..

Kazi ya Lowassa na Sumaye kwa sasa ni ipi? Kama siasa wamezuiwa tu wameufyata wakati sio wabunge wala hawana Ajira yeyote ?

Kama mnashindwa kujitetea tu mngeweza kuwatetea watanzania mlio wasaliti huko nyuma?

Hivi hawa wangeweza kuongoza nchi kweli watu wasioweza hata kupigania Ajira zao.

Nashauri lowassa na Sumaye wastaafu siasa. Au watulie sindano iwaingie Mimi nitatetea watu walio very clear ndani ya Chadema kama Lema na Lissu lakini si hawa matapeli.

Chagua moja staafu siasa, nendeni Ccm au maslahi yenu yakiguswa nyamazeni mnatia kinyaa.

Umemsahau kuwadi namba moja wa CCM, Zitto Kabwe. Huyu kijana ndiyo muuaji wa upinzani hapa Tanzania.
 
Kama wewe ni Mungu Lowassa hawezi kuwa Rais.
Unataka waingie msituni ndo roho yako iridhike kuwa wana uchungu na nchi yao?
Hujui kuwa James Peter Malingumu ni muuaji katili asiye na huruma na ndo kamuua Ben?
Unajua ni nini kimemtokea Rais mteule wa Gambia?Hatuko naye tena duniani.
Nipo Nigeria, nimekuwa mwana JF wa kwanza kuripot kifo cha Adama Barrow, na ameuawa Leo hii Saa 12 jioni.
Mods hawajaamini taarifa zangu bado wanafanya uchunguzi ili waache uzi wangu u display.
Siyo lazima Lowassa na Sumaye wa act wakati mwingine kukaa kimya ni hekima tosha ,usiwahukumu watu Kwa matendo yao ya nyuma, kwani wewe una usafi gani?
Kama unaipenda ccm milango ipo wazi kabisa nenda na achana na sisi.
 
Ifike mahali tufunge huu mjadala.
Kusema tu Lowassa ni fisadi bila kuja na uthibitisho wa uhakika ni kukiuka haki ya msingi ya binadamu. Lini tutaupata uhakika kuwa Lowassa alilibia taifa hili? Na mali za Tanzania alizojimilikisha lini zitarudi? Tunataka Lowassa apate haki yake na Taifa la Tanzania lipate haki yake.
Hizi porojo za mitaani hazitatusaidia chochote.
yeye mwenyewe ameonesha juhudi gani za kututhibitishia kuwa tuhuma hizo si za kweli?

Lowasa ni liability na ninamlaumu sana mbowe na slaa kumkaribisha Huyo fisadi kwenye chama chetu CHADEMA . ...
 
Wanaotakiwa kuthibitisha ni nyie watuhumu. Fungueni mashtaka.

Kisha LOWASSA aitwe mahakamani kupambana na "kesi zake."

Hizi porojo hapa JF wala hazisaidii chochote. Toka Ameanza kusemwa hivi, nini kilichobadilika?

Mgombea yupi wa Urais CHADEMA aliwahi kupata kura nyingi kama za LOWASSA? Kwanini unamuita Liability?
 
CCM na vibaraka wake, leo nawapa mbinu...

Mpandisheni Lowassa SHERIANI ili haki ipatikane.

Kwakuwa ushahidi mnao, ni vyema mkachukua
hatua ili sote kwa pamoja tuufunge huu mjadala wa UFISADI wa Lowassa.

Kusema mtu ni fisadi kwa miaka tisa mfululizo bila kumpandisha mahakamani kwa kosa la kuihujumu TANZANIA ni uhujumu mwingine dhidi ya Taifa.

Pamoja tuungane kuijenga Tanzania isiyo na Rushwa na Ufisadi.
 
Kwahiyo LOWASSA na SUMAYE wakiondoka siasani, basi matatizo ya Nchi hii yatakoma?

Sio kweli kwamba LOWASSA ni fisadi, hakuna ushahidi wowote zaidi ya Porojo tu na maneno ya vijiweni!
Kwanini akina mboe, hawajakanusha waliyotuambia nchi nzima na mnyika alituhakikisha kuwa ushahidi anao, ww nyumbu mchanga unatumbia si fisadi!!!?.
 
Mkuu kuna tetesi kuwa ule uzi juu ya Mwigulu ulikuwa karata yako ya kutokea. Na kwamba baada ya uzi ule na mawasiliano yako na Mwigulu ukapewa special assignment kuhusu watu fulani upambane nao from within kwa maslahi yako kwa makubaliano fulani.
Jee tetesi hizo ni kweli au maneno tuu? Mkuu ni swali tuu nothing personal.
Pole sana kwa kazi, ila shaba haiwi dhahabu.
 
Back
Top Bottom