technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
- Thread starter
- #21
Mkuu hawa sio wa kunyamazia hata kidogo wanua upinzani na ndio wanasabbisa ccm iendelee kutawala nitawasema mpaka wastaafu siasa au warudi ccm kwa mafisadi wenzao....Too much of anything is nonsense
Kuna mambo mengine mengi ya kujadili sio lowasa na Sumaye kila siku
Grow up
