Kweli Lowassa na Sumaye ni matapeli wa siasa

Kwanini akina mboe, hawajakanusha waliyotuambia nchi nzima na mnyika alituhakikisha kuwa ushahidi anao, ww nyumbu mchanga unatumbia si fisadi!!!?.
Mimi nakubalina na wewe Bw. Gomvu kuwa madai ya akina Mbowe, Pamoja na CCM kuwa LOWASSA ni "fisadi" yana ukweli, au sio?

Lakini mahakama si ndio yenye mamlaka ya kuthibitisha madai hayo?

Je ilishafanya hivyo?

Inatakiwa mahakama ifanye kazi yake, ili sisi kama Taifa tuliofanyiwa ufisadi na Ndg. LOWASSA tupate haki yetu, na huyu LOWASSA kama individual apate haki yake, nothing else!

We got nothing but love for this nation..!
 
1:4 inakuhusu sana hiyooo,na utaamini hivyo mpaka kifo chako na utaenda kuchomwa tu maana bichwa lako hua unafugiaga nywele tu.Unalalamika kama mtoto wa kike kisa ulimezeshwa na wazembe wenzio ccm wanaoropoka hovyo pasipo ushahid kisa uroho wa madaraka tu nawe ulivyopunguani basi umebeba na kuifanya Singer yako.Tulitegemea uwe ni mtu wa kuhoji kwa kauli nene kwa nn mwakyembe ambaye alijinasibu kua alisimamia suala la Richmond kwa nn akwambie mahakama ya mafisad imekosa kesi.We umekaa na njaa zako unaanza kutuletea ndoto zako zq kitanda hapa
Wewe ruka ukitua, lakini huwezi kumtetea huyo ni FISADI tu,
Kwa ushahidi wa manyumbu wakubwa
MBOE, MSIGWA, LEMA, MNYIKA nk.
 
Huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya hiki chama ccm! Kama Leo hii kungekuwa na chama kingine ambacho kimeshika dola zaidi ya ccm basi kungekuwa na hoja lakini kwasababu hakuna chama chochote basi hapa tulipofika ccm ndio imetufikisha.

ccm- ni chuo cha kuzarisha wezi
ccm- ni chuo cha kuzarisha ufisadi
ccm -nichanzo cha umasikini kwa watanzania kwasababu kimetanguliza umasikini na unyonge kama dira yao ya maendeleo.
Hapa tulipofika ni kwasababu ya ccm.
Ccm haitokuja safishika hata kwa steel wire kwasababu wizi na ufisadi ndio ccm ndio chimbuko lake.

Ukiona kijana anaifagilia ccm ujue amechungulia fursa ya wizi hapo baadae.

Hakika na sema ccm ndio laana yetu watanzania na kama hamtaamini tuendelee kusubiri ni mda pekee ndio utakao ongea.

Kama igweee alisema hawezi fukua makaburi basi waacheni lowassa na Sumaye wafanye wanayofanya ila mradi makaburi yaliyokuwa juu yao hayawezi kufukuliwa.
 
Ukweli ambao chadema wengi ukisemwa wanaishia kufumba macho.

Yani lowassa na sumaye ndio w kuufyata kwa Magu kweli? Wale ndio ilitakiwa kuionesha dunia kwamba rais kaminya democrasia.

To me, naona hawa mabwana wanataka zaidi kutoka chadema na sio wao kutoa!

Wapo tuuu,,, wanakula tu matunda ya watu walioipigania hiyo chama mpaka bapo ilipo, kumbuka kipindi wanachadema wanapigwa mabomu wao walikuwa wanafurahia, leo hii wao ndio wamekuja kujificha huko!
 
Mimi nakubalina na wewe Bw. Gomvu kuwa madai ya akina Mbowe, Pamoja na CCM kuwa LOWASSA ni "fisadi" yana ukweli, au sio?

Lakini mahakama si ndio yenye mamlaka ya kuthibitisha madai hayo?

Je ilishafanya hivyo?

Inatakiwa mahakama ifanye kazi yake, ili sisi kama Taifa tuliofanyiwa ufisadi na Ndg. LOWASSA tupate haki yetu, na huyu LOWASSA kama individual apate haki yake, nothing else!

We got nothing but love for this nation..!
Tatizo lako ni mvivu ndio maana unalialia hapa! Nenda kafanye kazi mwehu wewe! Usitarajie serikali itakufanyia chochote.Hata kama hawa unaowazungumzia watarudisha hicho unachokisema bado hutafaidi chochote na laana ya roho yako mbaya itaendelea kukutafuna.
Nenda kalime mapori yanaoza tu morogoro wewe unapiga soga hapa.KUBULA SIKI WEEE
 
you are firing right targets to a wrong person

Tatizo la CHADEMA sio hao ...Tatizo ni Mbowe....Dealing with Mbowe will automatically phase them out.......

hata uki hutafanikiwa ila mki mtafanikiwa
Mkuu hivi unaweza kumfukuza Mbowe hapo chadema kweli? Tuseme ukweli chadema wana jeuri hiyo?
 
Mimi nakubalina na wewe Bw. Gomvu kuwa madai ya akina Mbowe, Pamoja na CCM kuwa LOWASSA ni "fisadi" yana ukweli, au sio?

Lakini mahakama si ndio yenye mamlaka ya kuthibitisha madai hayo?

Je ilishafanya hivyo?

Inatakiwa mahakama ifanye kazi yake, ili sisi kama Taifa tuliofanyiwa ufisadi na Ndg. LOWASSA tupate haki yetu, na huyu LOWASSA kama individual apate haki yake, nothing else!

We got nothing but love for this nation..!
Inamaana akina mboe waliposema alishapelekwa mahakamani? ,mimi ninachoamini ww si mgonjwa unafaham bila mashaka jamaa ni FISADI, ila naamini jamaa anawenzake itapofikia hatua ya mahakamani lazima waguswe ndio walio kwamisha kupelekwa mahakamani. Mtazamo tu.
 
Aliiuza kama nani? Akiwa chini ya nani?

Yani huwa nacheka sana mwanachedema kuhoji usafi wa mwanaccm.
Nisawa na mkrugenzi wa tanesco alivyotumbuliwa sijui ametumbuliwa akiwa chini ya nani! Na escrow pesa zilitoka zikiwa chini ya nani.Hapa ndipo ccm mnaposhindwa kujielewa.
 
Tatizo lako ni mvivu ndio maana unalialia hapa! Nenda kafanye kazi mwehu wewe! Usitarajie serikali itakufanyia chochote.Hata kama hawa unaowazungumzia watarudisha hicho unachokisema bado hutafaidi chochote na laana ya roho yako mbaya itaendelea kukutafuna.
Nenda kalime mapori yanaoza tu morogoro wewe unapiga soga hapa.KUBULA SIKI WEEE
Mkuu hebu nisome tena.

Halafu fuatilia mabandiko yangu hapa JF.

Asante.
 
Kwahiyo LOWASSA na SUMAYE wakiondoka siasani, basi matatizo ya Nchi hii yatakoma?

Sio kweli kwamba LOWASSA ni fisadi, hakuna ushahidi wowote zaidi ya Porojo tu na maneno ya vijiweni!
Nakuonea huruma!
 
1:4 inakuhusu sana hiyooo,na utaamini hivyo mpaka kifo chako na utaenda kuchomwa tu maana bichwa lako hua unafugiaga nywele tu.Unalalamika kama mtoto wa kike kisa ulimezeshwa na wazembe wenzio ccm wanaoropoka hovyo pasipo ushahid kisa uroho wa madaraka tu nawe ulivyopunguani basi umebeba na kuifanya Singer yako.Tulitegemea uwe ni mtu wa kuhoji kwa kauli nene kwa nn mwakyembe ambaye alijinasibu kua alisimamia suala la Richmond kwa nn akwambie mahakama ya mafisad imekosa kesi.We umekaa na njaa zako unaanza kutuletea ndoto zako zq kitanda hapa
Jikomboe ndugu yangu, hivi aliyesema Lowassa fisadi ni kina nani?
 
Nyumba ailyeuza si ndio dingi wa sasa?
Ni Sumaye ndiye aliuza nyumba za serikali akiwa Waziri Mkuu. Huyo unayemsema alikuwa mdogo tu wa kutekeleza maagizo ya boss. Boss wake alikuwa Sumaye. Muwe mnatumia akili zenu badala ya kuwa kama nyumbu.
 
Mkuu hivi unaweza kumfukuza Mbowe hapo chadema kweli? Tuseme ukweli chadema wana jeuri hiyo?
hakuna aliyesema anataka kumfukuza mbowe
mbowe ni mwenyekiti wetu na amefanya kazi kubwa sana kukifikisha chama hapa kilipo.

isipokuwa..kwa sasa uwezo wake umefika mwisho ..inabidi akae pembeni abaki kama mshauri
 
Kwahiyo LOWASSA na SUMAYE wakiondoka siasani, basi matatizo ya Nchi hii yatakoma?

Sio kweli kwamba LOWASSA ni fisadi, hakuna ushahidi wowote zaidi ya Porojo tu na maneno ya vijiweni!
Kwa hiyo hayo yaliyotamkwa na wakuu wako wakina Mbowe, Lissu, Lema, Myika na Msigwa kabla ya Lowasa kuhamia chadema unayaita ni porojo na maneno ya vijiweni? Maneno haya waliyasema viongozi hawa kwa hisia kali mimacho imewatoka na kila mtu aliwasikia na kuwaona. Sasa wewe unasema yalikuwa ni porojo zao za vijiweni. Jaribu kuwa na heshima ya wakuu wako. Sasa kama kumbe maneno yao huwa ni porojo za vijiweni, nani sasa atawaamini wanaposema jambo lo lote? Si kila watakalosema wananchi wataamini ni porojo tu zao za vijiweni? Ila wenye akili walishaliona hilo.

So on the other hand you are very right. It is very true that everything we have heard from these people has proved to be 'porojo za vijiweni' for example we have heard about ukuta, katafunua, something uchwara and so on. Siasa zao hakika ni porojo tu za vijiweni. Ikulu siyo kijiweni na wsitegemee kwenda Ikulu kwa porojo zaao za vijiweni. Never on earth.
 
hakuna aliyesema anataka kumfukuza mbowe
mbowe ni mwenyekiti wetu na amefanya kazi kubwa sana kukifikisha chama hapa kilipo.

isipokuwa..kwa sasa uwezo wake umefika mwisho ..inabidi akae pembeni abaki kama mshauri
Sasa swali langu mkuu ni nani mwenye jeuri ya kumwambia mbowe akae pembeni? Kuwa mkweli.
 
Nisawa na mkrugenzi wa tanesco alivyotumbuliwa sijui ametumbuliwa akiwa chini ya nani! Na escrow pesa zilitoka zikiwa chini ya nani.Hapa ndipo ccm mnaposhindwa kujielewa.
Hivi unaelewa saga la tanesco na lile la nyumba z serikali? Unaelewa utofauti wake?
 
Back
Top Bottom