Hiyo ndiyo strength ya RACHEL.These RACHEL tripplets; are as weak and vulnerable to the laws of the land as is any mwananchi.
Tatizo ni 'woga' wa utawala wetu ambao unanuka / umeoza kimfumo kiasi kwamba hakuna aliye msafi zaidi ya hao mapacha watatu, wote ni wabakaji wa uchumi na raslimali zetu wetu wanatoa bure.
mnasahau kwamba hata wapinzani wakuongozwa na cdm ndio wapiga debe wakubwa wa kutetea mafisadi au mmesahau gazeti la tanzania daima linavyowabeba si si nyingi na nyie viongozi wa cdm mtaitwa wafulia matumbo tu tofauti yenu na ccm ni jina la chamaNafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?
mafisadi wamekuja na mkakati wa kushirikiana na chadema. Tulisema chadema si lolote kupinga ufisadi, badala ya kukijenga chama chao wanawatumikia ra na el kumpinga nape. Yote kwa yote mwisho cdm na mafisadi watakufa kifo cha mende!
Ni heri angeomba nguvu ya CDM katika vita ya Mafisadi kwa sababu CDM wanawajua na hawawaogopi kama ilivyo kwa Mwenyekiti wake. Sasa yeye badala ya kutumia japo kabusara kidogo kuomba Msaada toka CDM akajifanya kuwa-attack simply because isionekane kwamba kuondoa Ufisadi ilikuwa ni Sera ya CDM na wao wameidandia tu kwa hiyo kama wangefanikiwa kuwaondoa sifa zote zingeenda CDM.
Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia 100. Tatizo ni kwamba wafuasi wao hawajui kwamba kuna hii ndoa iliyofungwa kati ya mafisadi na viongozi wao na kwa kiasi kikubwa sana, kuendelea kubaki kwao katika nafasi zao kutategemea namna Chadema watakavyoendelea kutoa msaada kwao.
Suala la kuja na orodha mpya ya mafisadi iliratibiwa na kutekelezwa na Rostam na alipoitayarisha orodha hiyo, ambayo ilikuwa imeandikwa kwa mkono wake mwenyewe (hand written) ndipo akapewa mfanyakazi wake anayeitwa Balati Goda na kumkimbizia Marando ambaye alikuwa akisubiri ndege iliyokodiwa na mafisadi hao Terminal 1 (uwanja wa zamani wa ndege) na kuelekea Tabora ambako ndiko ilikosomwa na Dr. Slaa. Hata gharama za kukodi ndege na gharama zote zilizotumika kuwanunua viongozi hao zinafahamika na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.
Chadema wanatakiwa kuelewa kwamba viongozi wao ndiyo wanaotumika kuendelea kuwafanya mafisadi waendelee kupumua na orodha hiyo mpya ilitolewa mahsusi kwa sababu mbili. Moja ni kuwachanganya wananchi ili waache kujadili kuondolewa kwao mafisadi hao baada ya azimio la Dodoma, lakini vile vile kutaka kuchafua watu wengine ili hatimaye ionekane kwamba hao nao wanatakiwa kuchukuliwa hatua au ikibidi wote waachwe. Watu wanafahamu kwamba ndoa hii ya mafisadi na Chadema imeanza muda mrefu na hata sasa mfano ulio hai ni jinsi gazeti la Tanzania Daima linavyotumiwa kama mdomo wa mafisadi na hata jinsi Absalom Kibanda anavyotumika na uhusika wake katika kuanzisha jarida la Umoja ambalo mmiliki au mfadhili wake mkuu ni Lowassa. Tunafahamu pia kwamba hata orodha ya Mwembe Yanga ilifanyiwa usanii na Rostam kwa kuongeza jina la Rais (tena kwa mkono) na Slaa akaenda kuisoma hivyo hivyo Mwembe Yanga.
kibaya zaidi njaa ya hawa cdm ni mbaya kupita maelezoHujui usemalo. Mafisadi na Chadema ni wana ndoa!
mkuu hali hii inasikitisha sana hawa cdm wanwapumbaza wtz[/QUOTE]mkuu QUOTE=banyimwa;1981896]Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia 100. Tatizo ni kwamba wafuasi wao hawajui kwamba kuna hii ndoa iliyofungwa kati ya mafisadi na viongozi wao na kwa kiasi kikubwa sana, kuendelea kubaki kwao katika nafasi zao kutategemea namna Chadema watakavyoendelea kutoa msaada kwao.
Suala la kuja na orodha mpya ya mafisadi iliratibiwa na kutekelezwa na Rostam na alipoitayarisha orodha hiyo, ambayo ilikuwa imeandikwa kwa mkono wake mwenyewe (hand written) ndipo akapewa mfanyakazi wake anayeitwa Balati Goda na kumkimbizia Marando ambaye alikuwa akisubiri ndege iliyokodiwa na mafisadi hao Terminal 1 (uwanja wa zamani wa ndege) na kuelekea Tabora ambako ndiko ilikosomwa na Dr. Slaa. Hata gharama za kukodi ndege na gharama zote zilizotumika kuwanunua viongozi hao zinafahamika na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.
Chadema wanatakiwa kuelewa kwamba viongozi wao ndiyo wanaotumika kuendelea kuwafanya mafisadi waendelee kupumua na orodha hiyo mpya ilitolewa mahsusi kwa sababu mbili. Moja ni kuwachanganya wananchi ili waache kujadili kuondolewa kwao mafisadi hao baada ya azimio la Dodoma, lakini vile vile kutaka kuchafua watu wengine ili hatimaye ionekane kwamba hao nao wanatakiwa kuchukuliwa hatua au ikibidi wote waachwe. Watu wanafahamu kwamba ndoa hii ya mafisadi na Chadema imeanza muda mrefu na hata sasa mfano ulio hai ni jinsi gazeti la Tanzania Daima linavyotumiwa kama mdomo wa mafisadi na hata jinsi Absalom Kibanda anavyotumika na uhusika wake katika kuanzisha jarida la Umoja ambalo mmiliki au mfadhili wake mkuu ni Lowassa. Tunafahamu pia kwamba hata orodha ya Mwembe Yanga ilifanyiwa usanii na Rostam kwa kuongeza jina la Rais (tena kwa mkono) na Slaa akaenda kuisoma hivyo hivyo Mwembe Yanga.
cdm wanatia aibu mimi nafikiri ni kuhakikisha ya kuwa rachel wanatimuliwa kwani kwa kifupi ndio waliobeba dhana nzima ya ufisadi nchi hii baada ya kutimiliwa hivyo vijisenti walivyopewa cdm tutavijua tu kuna njia nyingi tu mgano mpendazoe ataropoka tu siku si nyingiMkuu heshima kwako. Hili jambo mimi limekuwa likinishangaza kwa muda mrefu maana toka harakati hizi za kuwataka RACHEL wajiondoe, wale wasanifu wa orodha ya mafisadi walibaki kimya na hawakusika mpaka walipyokuja na orodha ya Tabora na kuanza kuponda harakati hizo. Lakini hata sasa ukiangalia mikutano yao, hoja hii huisikii wakiisema kabisa na sasa mkakati waliokuja nao ni kumshambulia Nape ili ama kumtisha au kumkatisha tamaa asiendelee. Haya yalianza na magazeti ya Habari Corporation na Tanzania Daima. Magazeti yalipotulia wamekuja Chadema na Mtikila na sasa huo ndiyo wimbo. Sasa tumeelewa kwa nini nchi hii haina mtetezi maana kama hawa nao wananunuliwa na vipande thelathini, tena kirahisi basi hakuna aliyebaki. Hawa nao ni mafisadi kwa sababu ni beneficiaries wa proceeds za ufisadi lakini pia ni accessories after the fact maana wanasaidia kuhakiksha kwamba watanzania hawapati haki yao. Shame on Chadema!
Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia 100. Tatizo ni kwamba wafuasi wao hawajui kwamba kuna hii ndoa iliyofungwa kati ya mafisadi na viongozi wao na kwa kiasi kikubwa sana, kuendelea kubaki kwao katika nafasi zao kutategemea namna Chadema watakavyoendelea kutoa msaada kwao.
Suala la kuja na orodha mpya ya mafisadi iliratibiwa na kutekelezwa na Rostam na alipoitayarisha orodha hiyo, ambayo ilikuwa imeandikwa kwa mkono wake mwenyewe (hand written) ndipo akapewa mfanyakazi wake anayeitwa Balati Goda na kumkimbizia Marando ambaye alikuwa akisubiri ndege iliyokodiwa na mafisadi hao Terminal 1 (uwanja wa zamani wa ndege) na kuelekea Tabora ambako ndiko ilikosomwa na Dr. Slaa. Hata gharama za kukodi ndege na gharama zote zilizotumika kuwanunua viongozi hao zinafahamika na wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.
Chadema wanatakiwa kuelewa kwamba viongozi wao ndiyo wanaotumika kuendelea kuwafanya mafisadi waendelee kupumua na orodha hiyo mpya ilitolewa mahsusi kwa sababu mbili. Moja ni kuwachanganya wananchi ili waache kujadili kuondolewa kwao mafisadi hao baada ya azimio la Dodoma, lakini vile vile kutaka kuchafua watu wengine ili hatimaye ionekane kwamba hao nao wanatakiwa kuchukuliwa hatua au ikibidi wote waachwe. Watu wanafahamu kwamba ndoa hii ya mafisadi na Chadema imeanza muda mrefu na hata sasa mfano ulio hai ni jinsi gazeti la Tanzania Daima linavyotumiwa kama mdomo wa mafisadi na hata jinsi Absalom Kibanda anavyotumika na uhusika wake katika kuanzisha jarida la Umoja ambalo mmiliki au mfadhili wake mkuu ni Lowassa. Tunafahamu pia kwamba hata orodha ya Mwembe Yanga ilifanyiwa usanii na Rostam kwa kuongeza jina la Rais (tena kwa mkono) na Slaa akaenda kuisoma hivyo hivyo Mwembe Yanga.
cdm wanatia aibu mimi nafikiri ni kuhakikisha ya kuwa rachel wanatimuliwa kwani kwa kifupi ndio waliobeba dhana nzima ya ufisadi nchi hii baada ya kutimiliwa hivyo vijisenti walivyopewa cdm tutavijua tu kuna njia nyingi tu mgano mpendazoe ataropoka tu siku si nyingi
Siasa hizi maigizo. CCM wezi, Wapinzani wamenunuliwa na kina rostam live, yani inachosha akili, mnaojipa moyo wa mapinduzi sijui yaki Misri ata ya kura tuu 2015 mnaota na mtaamka 2016. Mi kwakweli yangu macho tuu sasa, hawa watu wote njaa tuu. When the Torah spoke of 'lamb' au mwanakondoo, nikweli watawalwa siku zote nikama kondoo. Haya kondoo fwateni matakwa ya wachungambuzi wenu, nahisi atapale wanapo pigana na fimbo zao, wanataniana tuu. Hizi siasa za maji taka, hamna chochote hapa, hatuta endelea kwa mwendo huu..
Nafikiri, Nape alikuwa anashambulia aliowaita magamba, sasa gafura nyuma wapinzani nao wakaanza kumshambulia, lazima apige kote kote kujikwamua. Swali ni kwanini wapinzani walianza kumshambulia na kumbeza?