Kweli Land Cruiser sio magari bora

Kweli Land Cruiser sio magari bora

Angegongewa kibaigwa tungesema alikuwa mwendo kasi sasa hapo alipogongewa hata Bajaj huwezi ku overtake, kwanza hili gari si la mama mtu tu kachomekea, hapo ni makao makuu ya NHC lakini mama kaangukia salender bridge.

ama kweli alirushwa umbali mrefu
 
Siku likikutupa mtaroni uje kuhadithia.
Mkuu tusitakiane mabaya kwa nia ovu.
Lakini nasema tena hilo gari ni very very stable , ndio maana wengi tunashangaa nguvu iliyotumika kuipindua!
Nikikata mbuga huko maporini hii gari kwenda zaidi ya 200km/hr ni kama mchezo.
 
Sijakuonea mabaya mkuu.
Ila hayo magari ni matatizo.
 
mjapan zamani enzi zetu wakongwe, kama mwaziona cruiser mkonge zile ambazo mara nying zatumika as ambulance ndo original mjapan!! Kuna zile rav four mnaziita old siku hz na zenyewe jiwe, siyo makaratas ya kopo za castle za siku hz!!
 
mi sina gari,so napita tuuuuu,,but know that hii ajali niyakinamna namna fulani..
 
Nadhani hili ndo jibu sahihi,kitabu cha gari siamini kama pana sehemu pameandikwa kwamba matumizi ya hiyo gari ni pamoja na kugongwa.

Ni sahihi mkuu, pia tujue kwamba wenzetu waliotengeneza hawana ajali kijinga kama hizi.
 
Nadhani hili ndo jibu sahihi,kitabu cha gari siamini kama pana sehemu pameandikwa kwamba matumizi ya hiyo gari ni pamoja na kugongwa.
<br>
<br>Ni sahihi mkuu, pia tujue kwamba wenzetu waliotengeneza hawana ajali za kijinga kama hizi.
 
Gari zinazotoka europe ni salam kwa maisha ya kiswahili
 
Back
Top Bottom