Kweli Land Cruiser sio magari bora

Kweli Land Cruiser sio magari bora

mkuu huu ndio ushauri sahihi na niliokuwa nao mm kichwani mwangu. natumia simu nashindwa kukugongea like.

hii ni point kubwa sana tatizo watu wanaongea sana .wanasahau kwa nn serikali inakataza Yale mabasi yakuchongwa kwa kuchukua chesis ya malori.

wakuu Gari kuwa na body nyepesi ni usalama mmoja wapo kwa mtumiaji wa Gari hiyo.

ndio maana kwa hayo magari mnayoyasifia kuwa na body ngum kama benzi na BMW land rover usalama wake wote upo kwenye airbag maana Gari zimewekwa airbag nyingi sana.

Mkuu naona umechanganya mada hapo,kuna haya ma bus yenye body za irriza au marcopolo body zao zipo starndard kulinganisha na izo za kuchongwa kama ma bus mengi tunayotumia hapa kwetu..ss mifano yenu wa ugumu wa magari na usalama wake mnauleta ktk magari ambayo ni SUV hamuwatendei haki benz,bmw,land rover,range rover au jeep maana kuyakuta hayo matairi juu body chini ni nadra sana hata ukitoka nje ya bara bara litagonga miti tuu na si kupinduka kirahisi rahisi kama land cruiser halina balance kabisa ingawaje body kubwa.
 
Gari za Toyota nazifananisha na simu za Samsung.
Wanazalisha ilimradi na sio ubora.
 
Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba inepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.

www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304642&stc=1

www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304614&stc=1
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.
Kwanza gari inaelekea limegongwa ubavuni kwa mwendo mkubwa , na si nyuma.
Nyuma gari halina hata mkwaruxo.

Gari aina ya LC200 , VX-Turbo 8cylinders, 4200cc ni kiboko.
Nasema hivyo kwa vile nalitumia, ni gari ambalo pamoja na kuwa na wheel base kubwa, ni very very stable.

Hilo gari la mama Bi Simba haielezwi imegongwa na gari gani huko ubavuni.
Ukigongwa na Scania lazima upinduke
ke
attachment.php
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    31.4 KB · Views: 381
  • image.jpeg
    image.jpeg
    31.4 KB · Views: 1,211
Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
Hizi Toyota Landcruizer V8 zina tatizo limejificha lakini sio gari reliable kabisa,yaani haipiti mwezi lazima utasikia limepinduka ,burst,kuacha njia n.k.Hata huko serikalini wayatoe yatatumalizia viongozi wetu.
 
Msiwe kama Nyumbu! Oooooooooh shiit sio lile tusi la Nape! Msiwe kama Kiwanda cha Nyumbu pale Kibaha!
 
Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
Maine kama Nyumbu!
 
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.
Kwanza gari inaelekea limegongwa ubavuni kwa mwendo mkubwa , na si nyuma.
Nyuma gari halina hata mkwaruxo.

Gari aina ya LC200 , VX-Turbo 8cylinders, 4200cc ni kiboko.
Nasema hivyo kwa vile nalitumia, ni gari ambalo pamoja na kuwa na wheel base kubwa, ni very very stable.

Hilo gari la mama Bi Simba haielezwi imegongwa na gari gani huko ubavuni.
Ukigongwa na Scania lazima upinduke
ke
attachment.php

Angegongewa kibaigwa tungesema alikuwa mwendo kasi sasa hapo alipogongewa hata Bajaj huwezi ku overtake, kwanza hili gari si la mama mtu tu kachomekea, hapo ni makao makuu ya NHC lakini mama kaangukia salender bridge.
 
Kinachoelezwa juu ya kupinduka hilo gari siyo kweli kabisa.
Kwanza gari inaelekea limegongwa ubavuni kwa mwendo mkubwa , na si nyuma.
Nyuma gari halina hata mkwaruxo.

Gari aina ya LC200 , VX-Turbo 8cylinders, 4200cc ni kiboko.
Nasema hivyo kwa vile nalitumia, ni gari ambalo pamoja na kuwa na wheel base kubwa, ni very very stable.

Hilo gari la mama Bi Simba haielezwi imegongwa na gari gani huko ubavuni.
Ukigongwa na Scania lazima upinduke
ke
attachment.php

Siku likikutupa mtaroni uje kuhadithia.
 
Hizi Toyota Landcruizer V8 zina tatizo limejificha lakini sio gari reliable kabisa,yaani haipiti mwezi lazima utasikia limepinduka ,burst,kuacha njia n.k.Hata huko serikalini wayatoe yatatumalizia viongozi wetu.

Umezingatia lakini kuwa magari mengi Tanzania Maker ni TOYOTA? Ukikaa bararani na kuhesabu utapata katika gari kumi zinazopita 9 zinatoka Japan, miongoni mwa hizo 8 maker ni TOYOTA na 1 ni brand toka Ulaya au Marekani.

Hivyo kusema TOYOTA zinaanguka sana ni pamoja na kuwa ndiyo dominant brand in our country.
 
Mimi nuna GX 100 iligongwa na Nissan Patrol iliyokuwa kwenye mwendo mkali lakini ilichubuka rangi tu. Mjapani magari yake ya uhakika

Gx100 ni yokohama nissani ni tokyo okay araf toyota ni japan nimekuelewa vizuri sana
 
Je hiyo ajali ni ya kawaida? Je, hakuna hujuma kwenye hili tukio?????? Bado naendelea kutafakari
 
Ukitaka kununua Land cruiser usinunue za kutokea japani zikiwa oda ya Africa nunua za oda ya UK au USA ndio zinakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom