Kweli Land Cruiser sio magari bora

Kweli Land Cruiser sio magari bora

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,121
Reaction score
165,987
Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba imepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.

attachment.php

Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba inepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.

www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304642&stc=1

www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304614&stc=1

hivi hilo gari limegongwa na gari!? maana kama lime sime simama kwenye foleni na kugongwa na kuwa hivyo sijui ilo lililo gonga kama lipo salama na lilikuwa nalo kwenye foleni au!?
 
Cha ajabu limegongwa na virts old model hiyo virts dereva hakusimama na mpaka sasa anatafutwa na polisi
 
Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
 
umejifunza juzi kwenye kasaloon automatic leo umepewa landcruiser unakanyaga mafuta kama mashine ya unga ikiacha njia unasema gari za mjapani swaga
 
umejifunza juzi kwenye kasaloon automatic leo umepewa landcruiser unakanyaga mafuta kama mashine ya unga ikiacha njia unasema gari za mjapani swaga

Ni kweli hilo nalo linachangia ajali , LAKINI hapa tunaongelea uimara wa gari za mjapani, gari iliyokuwa imesimama imegongwa na kagari hadi inapinduka na kubonyea kiasi kile ?
 
Tuambie wewe ni gari gani unalifagilia maana unapoonda tuuui
 
Serikali ianze kununua Autobiography sasa.
 
Jugania hujui hiyo ni sababu kuwa magari ya mjapani yako mengi kuliko mengine
 
Yay!basi na tuanze kutengezewa vifaru vya kiraia!
 
Back
Top Bottom