FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,784
- 46,902
Kwahiyo unataka kuniambia millioni 200 ndio imeshateketea hapo?! Magufuli piga marufuku ununuaji wa hizo takataka..!
Gari zote za mjapani ni swaga tu, siyo imara, ni nyepesi mno, ndiyo maana zinaanguka hovyo hovyo, Kesi za kuanguka au kuacha njia gari kama land rover, benz, range rover, jeep ni chache sana ukilinganisha na Land cruiser
nahisi ajali ni ya mazingaombwe
Mimi nuna GX 100 iligongwa na Nissan Patrol iliyokuwa kwenye mwendo mkali lakini ilichubuka rangi tu. Mjapani magari yake ya uhakikaNimeshuhudia ajali ya RAV 4 new model iligongwa kwa nyuma na IST yaani RAV 4 ilivyopondeka utadhani bodi la karatasi
Gari aliyokuwa amepanda mama Kijo Bisimba inepinduka baada ya kugongwa ikiwa Kwenye foleni.
Jamani hapa wajapani wamechemsha kutengeneza Gari nyepesi Kama karatasi.
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304642&stc=1
www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=304614&stc=1
Wametengeneza kwa matumizi ya kawaida siyo kugongwa.
Wametengeneza kwa matumizi ya kawaida siyo kugongwa.
Ni physics tu, gari likiwa gumu sana, kuna uwezekano mkubwa wa abiria kuumia zaidi kwenye ajali.
Wametengeneza kwa matumizi ya kawaida siyo kugongwa.
Nadhani hili ndo jibu sahihi,kitabu cha gari siamini kama pana sehemu pameandikwa kwamba matumizi ya hiyo gari ni pamoja na kugongwa.
Gari inapotengenezwa wanazingatiaa ajali pia. What if ikigongwa au ikipinduka ndio maana wanaweka safety equipments kama srs airbags.
Pamoja na hayo gari kugongwa na kupinduka hata kama ni gari ndogo sana imegonga huwezi kusema tu moja kwa moja hio gari ni mbovu au si imara,kuna issues nyingi.
Wametengeneza kwa matumizi ya kawaida siyo kugongwa.
mkuu huu ndio ushauri sahihi na niliokuwa nao mm kichwani mwangu. natumia simu nashindwa kukugongea like.
hii ni point kubwa sana tatizo watu wanaongea sana .wanasahau kwa nn serikali inakataza Yale mabasi yakuchongwa kwa kuchukua chesis ya malori.
wakuu Gari kuwa na body nyepesi ni usalama mmoja wapo kwa mtumiaji wa Gari hiyo.
ndio maana kwa hayo magari mnayoyasifia kuwa na body ngum kama benzi na BMW land rover usalama wake wote upo kwenye airbag maana Gari zimewekwa airbag nyingi sana.
kwa hiyo unataka kusema Toyota Mark ll ni imara kuliko Mercedes Benz S750?