Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Source ya hiyo apirit yote ambayo inatoka kwa shetani ni mwanamke...hawa Alshababu wasingepata roho ya kishetani kama shetani asingepata njia ya kuwafikia tokea mwanzo..usiangalie impacts angalia chanzo cha impacts.mfano mrahisi ni wa dhabi haikuwepo tokea mwanzo kwa hiyo dhambi yote ni chanzo cha mwanmke na sio anayetenda kwasasaMkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?
Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Well saidSource ya hiyo apirit yote ambayo inatoka kwa shetani ni mwanamke...hawa Alshababu wasingepata roho ya kishetani kama shetani asingepata njia ya kuwafikia tokea mwanzo..usiangalie impacts angalia chanzo cha impacts.mfano mrahisi ni wa dhabi haikuwepo tokea mwanzo kwa hiyo dhambi yote ni chanzo cha mwanmke na sio anayetenda kwasasa
🤭🤭🤔🤔Huo ndio ukweli mkuu wala hujakosea kabisa ukiwakuta kwenye madaraka hawa kama HR, receptionist na ofisi zingine anaweza kutemea hata mate kama unataka msaada kwake. Mwanamke ndio aliharibu mahusiano mazuri ya mwanadamu na mungu.
wanawake ni kiumbe hatari sana ebu fikiria, Mama anamlazimisha mtoto wake akatoe ushahidi mahakamani kuwa amebakwa na baba yake mzazi wa kisa tu wamekorofishana na mtu anafungwa mmaiisha jera kwa kusingizia bila huruma?
Basi tu ni mama zetu hawa Lakini hata mungu aliyewaumba alijua akiri zao ndio maana akatuambia tuishi nao tu kwa akiri. basi.
Source ya hiyo apirit yote ambayo inatoka kwa shetani ni mwanamke...hawa Alshababu wasingepata roho ya kishetani kama shetani asingepata njia ya kuwafikia tokea mwanzo..usiangalie impacts angalia chanzo cha impacts.mfano mrahisi ni wa dhabi haikuwepo tokea mwanzo kwa hiyo dhambi yote ni chanzo cha mwanmke na sio anayetenda kwasasa
Huo mti ni kama mtihani wa darasani ili kumbanii truth na fake,ndio maana huku Duniani tuna interview na mitihani..pia Mungu (Jehova)ana haki ya kuwa na kipimo chakeHujui kufikiri Kama kweli unatafuta chanzo Basi alieweka huo mti ndo source.. hao wengine ni wahanga tu.
Bado hujui kufikiri ndugu kubaini kupi kazi ya alieumba anaeitwa mkamilifu then ajipitishie chujio kwenye kazi yake timilifu nini maana ya utimilifu..?Huo mti ni kama mtihani wa darasani ili kumbanii truth na fake
NIMEGUNDUA WEWE NI HOVYOHujui kufikiri Kama kweli unatafuta chanzo Basi alieweka huo mti ndo source.. hao wengine ni wahanga tu.
Hizi ni zile hoja za kawaida nilizotegemea kutolea na watu wanaogafafa na weweBado hujui kufikiri ndugu kubaini kupi kazi ya alieumba anaeitwa mkamilifu then ajipitishie chujio kwenye kazi yake timilifu nini maana ya utimilifu..?
Kama ndugu unamatatizo yako usiwatupie mama zetu umepewa akili ya kupambana ktk mnazingira yako .. huu mchezo Kama unajua kufikiri mchawi wa yote utakuwa ushamjua.
Ulichelewa kulielewa hilo mbute wa watu.
Nimefatilia kila.anachopost mtu unakunjua mkia na kubweka kumbe wakut.......iwa tuUlichelewa kulielewa hilo mbute wa watu.