Kweli kuibiwa mpenzi kunauma

Kweli kuibiwa mpenzi kunauma

Joined
Sep 9, 2014
Posts
59
Reaction score
21
Hii Habari uisikie tuu kwa Jirani.

Nilifanya Siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "Mchongo" ninaopiga.

Leo Mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu sababu sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa.

Inauma aisee asikwambie Mtu.
 
Hii habari uisikie tuu kwa jirani! Nlifanya siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "mchongo" ninaopiga. Leo mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu coz sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa. Inauma aisee asikwambie mtu.
mbona hueleweki
yaani wote mnapiga Changu?
mbona wewe unapiga huo mchongo ukanyamaza wakati nwenzako kabiga anatamba?
FAFANUA km umegongewa Mamsapu?????????????/
 
Hii habari uisikie tuu kwa jirani! Nlifanya siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "mchongo" ninaopiga. Leo mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu coz sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa. Inauma aisee asikwambie mtu.

Demu mwenyewe kicheche. Maumivu ya kuchapiwa mbona cha mtoto, subiri maumivu ya ngoma.
 
Yaani jamaa wote mnapiga Malaya kisha mnalalamika....acha hayo mambo....
 
sasa ww unaumia kuchapiwa malaya! sasa ukichapiwa uliyemtolea mahali c utakufa kabisa.
 
Kuna jamaa wa kishua akawa naringa kisa kwao kuna hela wahuni walichofanya alichapiwa mama yake na madogo wa mtaani
 
Sasa hayo maumivu yanatoka wapi? Wezi kuibiana mnapata maumivu?
 
wazazi msisahau kulog out mkimaliza kutumia JF, au mtumie watoto wakiwa wamelala ona sasa madhara yake
 
Hii Habari uisikie tuu kwa Jirani.

Nilifanya Siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "Mchongo" ninaopiga.

Leo Mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu sababu sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa.

Inauma aisee asikwambie Mtu.
Mbona rahisi tu, tafuta mchongo mwingine weka hadharani ili usichapiwe tena.
 
Inauma nini sasa?!kwani mkeo?kumbe ni demu tuu wa mtaani.ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom