Kweli kuibiwa mpenzi kunauma

Kweli kuibiwa mpenzi kunauma

Mswati ana hazina kubwa ya wanawake asingeweza kulalamika kama hivi..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kiukweli haya maumivu nliyoyapata ndo yamefanya nijiulize angekuwa wife kabisa ingekaaje!?
Nshapiga chini saa hizi natoa mmoja aliyekuwa stoo!
NB hata King mwenyewe ashachapiwa mke wake majuzi tuu hapa.
 
Mbona haueleweki au bado unasikilizia maumivu?Tulia mapenzi yapo tu na ukiumizwa tulia jipange upya usije kuumizwa tena huko mbeleni
 
Hii Habari uisikie tuu kwa Jirani.

Nilifanya Siri kwa washikaji zangu wa kazini juu ya "Mchongo" ninaopiga.

Leo Mshikaji anasimulia kila kitu mbele yangu tena kwa kujisifu kuwa kafaidi balaa, imebidi niuchune tuu sababu sina hata pakulalamika, ila ndo nimejua maumivu yakuchapiwa.

Inauma aisee asikwambie Mtu.
Haa haaa pole sana, hata huyo wa stoo endelea kufanya siri utachapiwa tena,raha ya mpenzi kumuweka wazi hata michepuko siku hizo inawekwa wazi
 
Mswati kashazoea kuchapiwa wake zke kitambi chote kile kuwamuda hawezi
 
Kiukweli haya maumivu nliyoyapata ndo yamefanya nijiulize angekuwa wife kabisa ingekaaje!?
Nshapiga chini saa hizi natoa mmoja aliyekuwa stoo!
NB hata King mwenyewe ashachapiwa mke wake majuzi tuu hapa.

???????? which king malizia bas
 
wazazi msisahau kulog out mkimaliza kutumia JF, au mtumie watoto wakiwa wamelala ona sasa madhara yake

Tatizo hawa watoto wamekariri password za simu za wazazi wao,cha kufanya wazazi wabadilishe passwords au waweke mbali simu zao.
 
Alikuwa na darubini kali, aliona stoo yako akashtuka mapema kabla hujamtupa humo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom