Kweli kua uyaone...!

Kweli kua uyaone...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1420993591656.jpg
 
Hapo n mm nilikuwa nafikiria, Mshana jr yuko wapi nimtakie KHERI YA MWAKA MPYA
 
umerudi au unapita tu
Wapoti nimerudi kamili nakukumbuka sana wewe na Remote kwenye post yangu moja mlicoment maneno machache sana lakini yaliniingia mno! Wote mlisema "vitu vingine sio vya kupost"
 
Last edited by a moderator:

tena jamani kama yalikuudhi tusameheane tuanze mwaka vizuri
 
Hapana kabisa Wapoti yalinifikirisha mno na ndo maana ile post niliifuta haraka sana
 
Last edited by a moderator:
Wapoti nimerudi kamili nakukumbuka sana wewe na Remote kwenye post yangu moja mlicoment maneno machache sana lakini yaliniingia mno! Wote mlisema "vitu vingine sio vya kupost"

karibu tena sometimes tunapaswa kukumbushana yaliyomema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom