ulkimaliza hiyo tafuta pia za wachezaji wa hispania uone kama wanajua kiingereza, mambo ya kawaida ila kwa mtanzania unaona ajabu.Tafuta clip ya Mrisho Ngasa akihojiwa kwa kingereza, ni aibu
tupu
nilitekwa ha ha ha! lakini nipo huru sasahivi! mzima wewe?
hawajui kingereza na hawaongei kingereza, tatizo wasiojua na wanalazimisha kuongeaulkimaliza hiyo tafuta pia za wachezaji wa hispania uone kama wanajua kiingereza, mambo ya kawaida ila kwa mtanzania unaona ajabu.
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.hawajui kingereza na hawaongei kingereza, tatizo wasiojua na wanalazimisha kuongea
Niko poa..hata kama kushuka pembe huku kumezidi..mwambie huyo jamaa hayuko peke yake..awe anakupa muda wa kuchepuka
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.
"..they shall went to the national team...." chezea ki engish wewe! Lugha zetu za asili zenyewe hatuziwezi hii tutaiweza wapi!
yani nina wivu hadi natamni duniani tungekuwa tunaishi wawili tu..nwei kama ushamalizana nae basi sawahaa kumbe una wivu bby? nimesha malizana nae tayari he is a closed chapter..
yani nina wivu hadi natamni duniani tungekuwa tunaishi wawili tu..nwei kama ushamalizana nae basi sawa
:d:d:d:d:d:d:d:d
Yaani ungekuwa na uwezo ungejenga nyumba angani ili kuwaepuka watu fulani! siwataji leo nitawataja kesho!
ila ucjari sasa " kama biashara yetu ni madili mgodi unaumiliki wewe"
Usiharibu hali ya hewa brother
Hao watu kama wapo humu sema niongee na mods wawapige life ban
nianze na nani bby? wapo
My wife I love him
kwani ngassa anajua kiingereza, ama anaongea kiingereza. alihojiwa kwa kiingeereza nae akajikongoja ivo ivo.
ulkimaliza hiyo tafuta pia za wachezaji wa hispania uone kama wanajua kiingereza, mambo ya kawaida ila kwa mtanzania unaona ajabu.
zis relative who writed this is not to understand..if you have dirty to speak english just drink two small-sacks of Konyagi and english is slipping good
you have dirty = una taka
small sacks = viroba