Kweli Kikwete dhaifu,,,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Kikwete dhaifu,,,,,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chuck j, Jun 19, 2012.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kauli ya mh,Mnyika kuhusu udhaifu wa mh Kikwete ni kweli'
  (1)Madaktari kugoma yeye kukaa kimya
  (2)Waalimu kuhusu mishahara,hamna kauli
  (3)Shirika la reli kushindwa kujiendesha na ubinafsishwaji mbovu yeye kimya
  (4)Kashfa mawaziri na rushwa,
  (5)Makanisa kuchomwa moto na yeye kukaa kimya,
  (6)Swala la muungano,yeye kiimya,
  (7)Mawaziri kuingia mikataba ilhali,bunge lilikataza,yeye kakaa kimya
  nb,,
  kikundi cha uamsho,,toa tamko
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Siipendi CCM na siipendi dharau
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja kuhusu udhaifu wa kiongozi wetu.
   
Loading...