Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,935
- 183,379
Hahahaaaaa!! Hivi haya mambo huwa ni kweli kumbe!! Uwiii sipati picha ndio inanitokea hata begi sitobeba[emoji134] [emoji134]Ha ha ha ndugu yangu alienda mahali, kalala asubuhi kajikuta nje, alibeba begi akarudi kwa mkurugenzi kuomba ahame