Kweli kazi ya ualimu ni wito

Kweli kazi ya ualimu ni wito

Hakuna changamoto mkuu kikubwa ni kuishi ndani ya maadili ya kazi tu hao watoto wa kawaida tu labda uwe na ugwadu sugu ndo utaona ualimu na madenti ni changamoto
Changamoto zipo,mwalimu hana thamani akifaulisha watoto wanaakili wakifel mwalimu hajui kufunfisha nini zawadi ya mwalimu au shikamoo tuu
 
n taaluma yenye thaman kubwa, ila haijapewa thaman yake na selkar na jamii kwa ujumla. kuwa mwalim imekuwa kama utumwa jaman
 
Back
Top Bottom