Kweli kazi ya ualimu ni wito

Kweli kazi ya ualimu ni wito

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,219
Reaction score
6,080
Kati ya kazi zenye changamoto kubwa katika nchi hii ni ualimu, walimu wanapambana na kila adha katika maisha yao ya kila siku, kudharauliwa, mishahara isiyokidhi mahitaji, mazingira magumu ya kazi lakini jamii na serikali hazioni hili,ama kweli UALIMU NI WITO

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]
 
Hakuna changamoto mkuu kikubwa ni kuishi ndani ya maadili ya kazi tu hao watoto wa kawaida tu labda uwe na ugwadu sugu ndo utaona ualimu na madenti ni changamoto
 
Sasa changamoto gani hapa wakati Mwalimu wa shule X anaenda kuwatumia wa shule Y na kinyume chake ni sahihi.
 
Ningetiririka nao kama walivyojipanga hapo bahati yao huwa sitongozi wanafunzi labda itokee tuu.
 
Mkuu dafu na ndimu,walimu wakiamua kuharibu generation kwa kuwafundisha wanafunzi wachukie kitu fulani itakuaje? Kwa mfano wakiwaambia wanafunzi kila siku nyie mnatakiwa mle chai na mkate tena wenye siagi,hamli kwa sababu watu fulani ndo wanasababisha na ndio adui zenu,unafikiri nini kitatokea? Tena kila siku wanafundisha hicho hicho,tafakari mkuu dafu na ndimu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mbona kama michango haiendani na uzi? Au mie ndio kichwa ngumu!!!
1476807185061.jpg
Hii ndio post ila Mods wamebadilisha ndio maana hujaelewa.
 
Back
Top Bottom