Kweli kama huna hela warembo utawasikia redion

Kweli kama huna hela warembo utawasikia redion

kweli mkuu kama hicho kilivyo kizuri utakisikia tu kwenye koki
 

Attachments

  • 1437993888307.jpg
    1437993888307.jpg
    81.7 KB · Views: 614
jikubali kila kitu kitaenda sawa! tafuta wa hadhi yako mnaoendana, hao wa kwenye bomba waachie wasoma mita!
 
Ivi na wale warembo wanao wagharimikiaga kila ki2 nao wanapendaga hela za wanaume?
 
Shikamoo pesa, hela ndio kila kitu kwa sasa labda uingie kwa gia ya kuoa kabisa lkn na yenyewe lazima hali yako isiwe ya kihohehahe, tafuta hela mambo mengine yatakuwa mtiririko.
 
Back
Top Bottom